Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikisema hizo zenu ni za kishamba unakasirika, these is the legit one inazunguka hadi upside down. 🤣 🤣

najua umekasirika kuona hii 😂😂👇👇
3F2A6804-48E7-4795-891D-57BEE545D7E4.jpeg
 
Nitajie nchi yoyote maskini ambayo ina export zaidi kwa nchi tajiri kuliko ku import toka kwa hiyo nchi tajiri.
I asked you a very simple question na sijui ni kwa nini unashindwa kujibu. Ulisema bidhaa zenu zimejaza shelves zetu, hebu nitajie tu tano kati ya hizo bidhaa. It's that simple bongolala
 
Hivi usalama wa hii reli utakuwaje maana geographical location ya Congo ni misitu mikubwa yenye wapiganaji wengi wanaoisumbua serikali ya DRC, hawawezi kufanya sabotage na kuharibu huu mradi?
Ndio maana kuna option ya kigoma port na kalema ambayo is more secure and cheap
 
Vitu legit ni kama hii. Wachana na hizo zenu za kishamba, zimetengenezewa watoto. 🤣 🤣 🤣
Hii huwezi pata bongo mzima.


anza wewe kuja huku uove raha ya jiji hili 😂😂😂👇👇👇👇

hii wapi utapata kenya ???

 
ukipata roller coaster kenya nitag na mm nikuoneshe ferries wheel tena ziko zaidi ya 3😂😂😂😂
Sisi hatuna rollercoaster kwa maana tuliona hakuna haja ya kujenga utopolo kama mliojenga. Nyie hamna Ferris
Wheel hata moja isipokuwa hii bembea ya watoto

1652356910923.png
 
Back
Top Bottom