Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hvi kati ya RT na CNN ipi ina propaganda ??
RT ni official mouthpiece ya Russian government.

CNN is a private company (with all its faults)

It doesn't take an genius to notice the difference.

RT is russian propaganda packaged in the English language to fool idiots like you.

Screenshot_20220512-120307.jpg
 
Wazee
Mkenya ukimsikia akiongea utafikiri anamiliki vyote vizuri kwao dawa ni kwenda nao ground
Wenzetu kule north wana dessert kubwa lakin cha ajabu huwezi kuskia njaa
Ndipo ninaposhangaa,wale jamaa wako well committed na maisha ya wananchi wao.Hawa Wakenya sidhani kama bajeti haitengwi la!hasha itakuwa inaliwa na wachache na viongozi wao haiwaumizi kichwa wala roho wanaua watu kwa maksudi, ni ubaguzi na ukanda ndio kitu ninachokiona hapa.

Sisi tumeanza kutoa maji Ziwa Victoria tunayapeleka Tabora, Singida na Dodoma sehemu zenye ukame kidogo.

Kama wao wana uchumi mkubwa kwanini wananchi wao wanakosa huduma ya maji na chakula? Mambo mawili hapa yanachangia, uchumi wa mchongo nchi haina uwezo wa kuwahudumia wananchi wake au wizi uliokithiri na ubaguzi wa kikanda.
 
nairobae na siku ukipata roller coaster kenya nitag mm 🤣🤣🤣👇👇

roller coastar ya kishamba 🤣 🤣 🤣 haiwezi hata enda upside down, theme park
za bongo ni za watoto tu, hakuna thrilling adventure hapo.

Kuja uone drop tower utoe ushamba.

Funscapes Themepark - Fun for the Whole Family at the Two Rivers Mall  Nairobi - Go Places ™ Digital
 
Ndipo ninaposhangaa,wale jamaa wako well committed na maisha ya wananchi wao.Hawa Wakenya sidhani kama bajeti haitengwi la!hasha itakuwa inaliwa na wachache na viongozi wao haiwaumizi kichwa wala roho wanaua watu kwa maksudi, ni ubaguzi na ukanda ndio kitu ninachokiona hapa.

Sisi tumeanza kutoa maji Ziwa Victoria tunayapeleka Tabora, Singida na Dodoma sehemu zenye ukame kidogo.

Kama wao wana uchumi mkubwa kwanini wananchi wao wanakosa huduma ya maji na chakula? Mambo mawili hapa yanachangia, uchumi wa mchongo nchi haina uwezo wa kuwahudumia wananchi wake au wizi uliokithiri na ubaguzi wa kikanda.
Yaani inasikitisha sana mkuu ila kadri miaka inavoenda wanaelewa japo kinyonge🤣🤣🤣🤣
 
Sasa uzinduzi wa JNHPP umesongezwa kutoka mwaka wa 2022 hadi 2024 halafu unashangaa nini mradi huu unapoitwa white elephant? Hio 2024 itasongezwa tena hadi 2025 subiri tu utaona.
Hata SGR kilomita 200 imewashinda kumaliza miaka mitatu baada ya tarehe ya uzinduzi wa November 2019.
Sitashangaa ikiwa treni yenu ya umeme itakosa umeme wa kuiendesha hii August wakati wa uzinduzi.

By 2024 wakati mnazindua JNHPP tayari tutakuwa tunanunua umeme kwa bei nafuu kutoka Ethiopia kwa maana ujenzi wa njia ya umeme kati ya Kenya na Ethiopia umekamilika, tunasubiri uzinduzi wake soon. Turbines mbili za GERD ya Ethiopia tayari zinazalisha umeme.

Turbine #9 in the works at JNHPP!
3OafRzu.jpg

76attBA.jpg

Source
 
hvi kati ya RT na CNN ipi ina propaganda ??
RT is controlled by the Russia government, you will never see them publish or air any negative stories about the Kremlin. The same applies with CGTN with the Chinese government. CNN, BBC, DW, Al jazeera are private media companies at least they try to be neutral and show both sides of the stories
 
Geza Ulole, huyu ndiye aliyekua anapita na begi lililojaa kura kipindi cha uchaguzi 2020 na kusema kwamba amekamata kura za wizi, na kudai kwamba uchaguzi haukua halali na kwamba uchaguzi ule ulikua ni uhuni wa CCM, bahati mbaya wengi waliamini maneno yake.

Leo hii anadai kura zilizopigwa na baraza kuu la CHADEMA pia ni uhuni kwasababu maamuzi yanamuumiza yeye, huo ndio upinzani wa Africa ulivyo

Tony254
The best 007

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Siasa za africa ni mchezo mchafu,watu wanaangalia matumbo yao tu
 
Geza Ulole, huyu ndiye aliyekua anapita na begi lililojaa kura kipindi cha uchaguzi 2020 na kusema kwamba amekamata kura za wizi, na kudai kwamba uchaguzi haukua halali na kwamba uchaguzi ule ulikua ni uhuni wa CCM, bahati mbaya wengi waliamini maneno yake.

Leo hii anadai kura zilizopigwa na baraza kuu la CHADEMA pia ni uhuni kwasababu maamuzi yanamuumiza yeye, huo ndio upinzani wa Africa ulivyo

Tony254
The best 007

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

sijawahi kuwaelewa tangu warubuniwe na Ndugai!
 
ichoboy01 theme park za dar ni za watoto tu. Ndio maana hata unatupostia roller coaster na ferris wheel za watoto.🤣 🤣 🤣 Kenya kuna hizo roller coaster na ferris wheel za watoto but I can't bother to post ju huo ni ushamba. 🤣🤣🤣

Vitu thrilling za watu wazima kama hizi huwezi pata bongo.
No photo description available.

Funscapes Themepark - Fun for the Whole Family at the Two Rivers Mall  Nairobi - Go Places ™ Digital
7 Things you didn`t know about Two Rivers Mall Nairobi
 
Back
Top Bottom