Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tazama bullet train ya Senegal kisha uilinganishe na mtungi wa konyagi wa Tanzania.

1. Senegal Bullet train
1652272925264.png



1652272961498.png

1652273010983.png

1652273085504.png



2. Mtungi wa Konyagi wa Jamhuri ya Tanzania.

1652273211174.png
 
Hii hapa bullet train ya Morocco
1652273444532.png

1652273553762.png

Linganisha na mtungi wa Konyagi wa Tanzania
1652273502907.png
 
Ni neema kubwa mno, kwanza ile amani ya moyo tuliyo nayo sisi Watanzania na furaha ni jambo la kumshukuru Mungu sana.Ebu fikiria unaweza kutoka Mtwara hadi Bukoba hujaulizwa kitambulisho chako, unafika huko unageuza unakwenda hadi Mbeya hujaulizwa umetokea wapi, bado unaelekea Arusha hakuna mtu anakuuliza wewe ni kabila gani.

Kote huko kuna watu unakutana nao mnapeana namba mnawasiliana vizuri, siku ukiondoka unaulizwa vipi ulifika salama ndugu yangu/yetu.Tayari ni ndugu maana umeshafahamika.

Watu wakiuliza wewe ni wapi au kabila gani wanapenda kujua asili yako ili kama ukipatwa na tatizo wajue ni jinsi gani watakusaidia au kuwasiliana na ndg zako, wengine utakuta ni watani wako mnaanza kutaniana lakini si kwa ajili ya kukubagua.

Hata humu kuna wakati tunaitana ndg yangu, mkuu, boss,rafiki yangu,bro ,but it is quite different from Kenyans.

Mkuu, yaani ulivyoielezea nchi yangu Tanzania hivyo, nikasisimuka na kutokwa na machozi. Ukitembea kila kona unakutana wanakupenda kana kwamba ni ndugu zako.

Kwa vijana, wanapata wachumba popote bila kupata kipingamizi kutoka kwa wazazi wa pande zote. Yaani ni full shangwe.
 
Back
Top Bottom