Train zao speed ndogo zitakwamisha trains zetu kukinbia kasi halafu zitachafua mazingira kwenye reli yetu kwa kumwaga diesel na oil kwenye njia ya reli.Wakenya pia watailazimisha govt yao waunge SGR ya central corridor mana ndio itakuwa the most efficient in Africa.
Leta tuzione! hapo Kunyaland ukiwa na ferries wheel alone tayari unakuwa waterpark hata bila pools n fountains!Mbona munapost kama ni tiny. 🤣 🤣 🤣 Nairobi has alot of theme parks hadi munaforce zingine zikue zenu.
Hapana Mombasa ndio itakufa maana barabara ya bagamoyo tanga mombasa itakuwa imekamilika.Hii bandari ya Bagamoyo ikijengwa itauwa bandari ya Dar es Salaam.
Mkataba wa Kwanza kuna coaches 59 za sgr toka Korea na mkataba mwingine kuna coaches 30 toka Germany na vichwa 2 vya umeme. So coaches hizi zitavutwa na electric locomotives. Zile za Hyundai ndio zitakuwa electric multiple units pull push type.Kupitia hii youtube video ya SSRST inaonyesha hii kampuni ndo ilitengeneza delux zetu..so nadhan zile za SGR 'mkataba wa kwanza' waliwapa hawahawa kimya kimya bila kutangaza
MGR delux
View attachment 2220318
SGR (EMU)
View attachment 2220321View attachment 2220322
So EMU zetu za mkataba wa kwanza zitakuwa kama hizo [emoji115]
View attachment 2220325
Mzigo wa mwezi wa 4 sio huu wa Korea ni mzigo toka Germany lakini nao umechelewa piaNdio wameenda kukagua mzigo nn maana umechelewa sanaa ,walisema mwez wa 4 mzigo unafika daah ila sema hawa trc waswahili sana
Mtungi wa changaa ni gari moshi kwani umeona kuna chimney hapo [emoji3]Jameni hii mitungi ya chang'aa ndio mlikuwa mnaiita bullet train???
View attachment 2220429
nioneshe video ya kenya hapo sasa au siku hzi fun city iko kenya ??🤣🤣🤣🤣
Boss, huku ni Kenya 😅 umewatch kweli ama unazirusha tufikeni hapa kwanza 😂😂😂
Mecy ni nani 😅😅😅😅
Huo mkataba wa korea wakwanza hakuna vichwa vya sgrMzigo wa mwezi wa 4 sio huu wa Korea ni mzigo toka Germany lakini nao umechelewa pia
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Double decker zinatoka Germany sio Korea ssrt wala HyundaiDouble decker my foot!! Hakuna treni ambalo ni double decker kwenye hii assembly line.
View attachment 2220495
Hiyo picha sio train ambazo Tanzania imeagiza acha kujifurahisha hapa.Tazama bullet train ya Senegal kisha uilinganishe na mtungi wa konyagi wa Tanzania.
1. Senegal Bullet train
View attachment 2220545
View attachment 2220547
View attachment 2220549
View attachment 2220557
2. Mtungi wa Konyagi wa Jamhuri ya Tanzania.
View attachment 2220561
HII GARI RANGI GANI ATII
Ukiangalia hizo picha za balozi utaona anashuka kwenye behewa la double decker angalia axle design!Double decker zinatoka Germany sio Korea ssrt wala Hyundai
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani nimekuuliza ww au?? au ww ndio mke wa makamba?? vipi mzee mbona nilishakwambia huo mchezo nimekatazwa kwangu ni mwiko
Jameni hii mitungi ya chang'aa ndio mlikuwa mnaiita bullet train???
View attachment 2220429
Tony254 sisi tumeagiza brand tofautitofauti kutoka nchi tofautitofauti so mpaka zote zinakuja itakua mtu tanachagua apande ipi sio eti brand moja kwa train zote haipendezi. Na hili swala lipo hadi kwenye MGR ambapo hatutumii brand moja na juzijuzi tumeongeza vichwa kutoka MalaysiaHiki ni kile kichwa cha bata mliodanganywa kwamba kimeagizwa ila hali halisi kwa ground ni hii
View attachment 2220753
Uliyoongea si kweliHuyu alipewa mabehewa ya Mizigo tu kwenye SGR.hizo behewa za MGR sijui contract but for SGR mkataba uliotangazwa ni Behewa za mizigo