Wakenya wote wangependa wawe Watz, mkenya ukimwambia unafanana na Watz anafurahi kinoma, mm huwa nawaongopea "mbn ww unafanana na Watz yn haupo kama mkenya kabisa" huwa wanafurahi sana na wengi wao hunijibu "asante bhn" huku wanatabasamu.
Kuna mmoja juzi pale kazini baada ya kukagua docs zake nikamwambia kumbe wewe ni mkenya, akajibu kwani wanionaje nimekaa ki Tz? Nikamwambia ndio upo kama mbongo, akafurahi sn akajibu asante sana ndugu yangu.
So nimegundua kwamba over 95% ya Wakenya wanapenda kuwa watanzania ila less than 0.01% ya Watz wanapenda kuwa Wakenya, pia nmegundua Wakenya wote wangependa kuishi Tanzania ila hakuna mtz angependa kuishi Kenya.