The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Somewhere in Europe 














Wakenya pia watailazimisha govt yao waunge SGR ya central corridor mana ndio itakuwa the most efficient in Africa.State of the art eco friendly electric Sgr ikianza Uganda Rwanda Congo na burundi hawatafuata mizigo yao port wataikuta hukohiko kwao kwenye inland ports zao na kafanya clearance kwa gharama nafuu sana Mombasa port will be for Kenya only.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

















List ya ujinga sana hata haijasema JNIA inapokea abiria wangapi kwa mwaka.
Hahahaha. The best 007 njoo uone jamaa anavyojitetea. Nyie mpo vizuri kwa kujitetea mnapokabwa koo.The only international airport lazima iwe na ndege nyingi. Unlike Tz we have 3 international airports zinazo handle flights directly from overseas na mind you most tourists wanashukia kilimanjaro and zanzibar.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
ni Ndumilakuwili ama Ndumakuwili... mkubali tu yaishe.. kiswahili cha kibongo itabakia bongo vilevile cha kikenya itabakia humu
Hii bandari ya Bagamoyo ikijengwa itauwa bandari ya Dar es Salaam.
Hawa Wachina wanastahili tu kupigwa viboko. Sijui wanapoteza muda kwa nini.Tony254 hivi huu upuzi wenu uliishiaga wapi? Upo hodari sana kuulizia SGR ya Tanzania huu upumbavu wa nyumbani umeufumbia macho
View attachment 2220234
Usitegemee JKIA kuja kui overtake JNIA kwa hii miaka ya karibuni labda mwaka 2500.Hahahaha. The best 007 njoo uone jamaa anavyojitetea. Nyie mpo vizuri kwa kujitetea mnapokabwa koo.
No itaua MombasaHii bandari ya Bagamoyo ikijengwa itauwa bandari ya Dar es Salaam.
Out of those 11 vessels at Lamu port in the whole year, 6 brought construction materials and equipments for the Lamu port currently U/C!Meli zinaenda lamu haziwezi dock kwa hako kakitu unaita mtwara, tulia kichapo iingie, you know nothing about transshipment business.
Mimi naomba data tafadhali. Wewe unafanya kazi hapo airport. Nipe data ya 2021. Nataka kujua 2021 abiria wangapi walipitia airport yenu ya JNIA. Nakuhakikishia hio number haijafika abiria milioni nne.Usitegemee JKIA kuja kui overtake JNIA kwa hii miaka ya karibuni labda mwaka 2500.
Kivipi? Toa maelezo.No itaua Mombasa
Wapi Kelele za Lamu port?Kivipi? Toa maelezo.
That was in 2012 before opening 😂😂 mbona unahepa very recent pictures of 2021? 😂😂 Ukweli unauma