Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Are you sure? 😂 😂 😂Mikunya wafalme wa umasikini ukanda huu.
Are you sure? 😂 😂 😂Mikunya wafalme wa umasikini ukanda huu.
Kwahyo sgr Kenya inaanzia bwawani inaishia porini


Izo ni behewa za mgr ata Bangladesh wameagiza kama izo zao ndio izo za kijaniWatanzania ambao hawajui tofauti kati ya mtungi wa chang'aa na bullet train tazameni hapa:
1. Tanzania bullet mtungi wa chang'aa train
View attachment 2220438
2. Japanese Shikansen bullet train.
View attachment 2220447View attachment 2220448
mijitu inajifia njaa kwa kukosa chakula inamwita masikini mtu anayejilisha na kuuza ziada hahahahahahahahaHuyo kondoo nilishawahi kumuuliza umasikini ni nini hadi leo hajanijibu.![]()
Kenyan dream ni kuishi,kufanya kazi Tanzania na hata mapenzi,kwa mkenya kuolewa au kuoa na mbongo ni fahari kubwa n.kKaka hawa watu ndivyo walivyo ni wapondaji lakini wanajua uzuri wa Watanzania na Tanzania kwa ujumla hakuna Mkenya ambaye anaweza kuja hapa kwetu halafu akatamani maisha ya nyumbani kwao labda awe ni zile familia chache za kitajiri.
mijitu inajifia njaa kwa kukosa chakula inamwita masikini mtu anayejilisha na kuuza ziada hahahahahahahaha
Double decker my foot!! Hakuna treni ambalo ni double decker kwenye hii assembly line.Unajifurahisha...
Hili wanaloshuka litakuwa double-decker!
![]()
👇
![]()
Asante kwa TBT, kwa ss tumeshahama hapo tumejenga mpya pesa tunazo




Yani wewe Tony unaita hii treni ya umeme ni low quality, unatoa wapi ujasiri huo.Ni low quality sana. Sijui mlikuwa mnatucheka kwa nini.
Linganisha mitungi yenu ya gongo
View attachment 2220454
View attachment 2220455
Na hizi shikansen za Japan
View attachment 2220457View attachment 2220458
Inakuwaje nchi maskini ikawalisha na kuwajazia ma shelf yenu kwa dukaHii Tanzania ambayo inaongoza kwa umasikini ama Tanzania nyingine?![]()
![]()
![]()




Na ndiyo zitapita hapa utake usitake, we unavyoona hapa utapita mtungi hapaThey never understood, and still don't understand the meaning of the word "bullet train"
Wao bora Magu alishawaambia wanaletewa 'buret tlein' baas...! Anything else doesn't matter




Hii kitu ndio high quality? Hahaha. Baada ya kuita yetu mtungi wa chang'aa hili dude ndio mnaleta??Yani wewe Tony unaita hii treni ya umeme ni low quality, unatoa wapi ujasiri huo.View attachment 2220503
Mambo ya kuita hyo ni low quality tuachie cc wenye electrifitried SGR na co nyie.Hii kitu ndio high quality? Hahaha. Baada ya kuita yetu mtungi wa chang'aa hili dude ndio mnaleta??
View attachment 2220510

























