Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heehee...............sasa golf course ndio haipo Nairobi ama unajaribu kusema nini? [emoji1787] [emoji1787]
Hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa, accept that and move on.
 
Wale nurses kushindwa kufaulu ule mtihani wa Kiingereza ndipo nilipoanza kupata mashaka sana na uwezo wa Kiingereza chao.
 
Hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa, accept that and move on.
Tuonyeshe expressway ya Dar es Salaam.
 
Kuna mmoja aliniuliza nifanye nini ili nipate uraia wa tz? Nikamwambia aende Kwa myenye kiti/katibu atampa way forward [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji846][emoji846][emoji846] kuna mwingine alitumia link ya kazi apply , alivyofuatilia akajua makao makuu ya hiyo kampuni itakuwa Arusha na Nairobi, kwa post anayotakiwa kuomba anatakiwa akaishi Nairobi. Hakujisumbua hata kuomba hiyo nafasi aliishia kusema siwezi kuishi na Wakenya na kufanya nao kazi kwao.
 
I'm not bragging, I'm simply stating facts. The comprehension and written English of some of you is plainly pathetic.[emoji706][emoji706][emoji706]
Shida iko wapi, cjui kingereza najua kiswahili nini mbaya!! Ww unayejua kingereza na bado upo failed state unaganga njaa. Unajua kingereza na hujawahi kutoka nje ya hyo failed state haya tuambie kingereza kimekusaidia nn?

Unajua nyinyi Wakenya ni ******* sn, mnalidhalilisha hili bara kwa shobo zenu za kipumbavu, yn mtu anajisifia kabisa anajua lugha ya watu wakati lugha yake ipo na anaona aibu hata kuiongea, haya makunya ni majinga kabisa.
 
Nyie mmekosa nini acheni kumlaumu Mungu mafuta mmepewa mmeshayafanyia nini mpaka leo ili kuinua hali zenu za maisha? Bahari na viumbe vyake mmepewa mmefanyia nini? Mapori ya utalii mmepewa mmefanyia nini? Isiwe rahisi tuu kulaumu wenzenu hawafanyi kitu juu ya utajiri wao wakati na nyie mmekalia wenu pia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Julius Nyerere ana umuhimu gani katika siasa za Tanganyika kwa sasa?
Mambo aliyoacha ameyasett kipindi hicho hadi sasa hivi yanareflect maisha yetu.Tukilumbana na kukosa muelekeo tunarudi tena kutaka kujua sera ya Baba wa Taifa inasemaje. Misingi imara aliyoiweka mzee wetu inatuongoza mpaka sasa hivi.

Hivi Kenyatta huwa mnamuona kama Baba wa Taifa lenu, au kwa kuwa alikufia ndio basi tena hana umuhimu kama Kibaki?

Seriously nyinyi hamna heshima, utu na kuthamini michango ya wezee wenu.Hii ni laana mjitakase lasivyo uovu wenu utawatafuna vizazi vyenu vyote.
 
Sisi kitaani kwetu mtu ukimpiga kirungu hata cha jero kama hana huwa anasema "Dah kama Kenya mwanangu" hapo tunakuwa tushaelewa kwamba huyo mtu anamaanisha hana kitu yani yeye mwenyewe ana njaa kama Kenya.
Mtu anaweza kudhani unasema uongo lakini ni vitu real mitaani huwa tunasema hivi.
 
aki kweli IamLee 😅😅 sio wewe pekeyako. hivi, kumbe tuko wengi yani. pia mm sijui kitu kuhusu siasa za kibongolala
Naona wakibisha kuwa wakenya wanafuatilia mambo mengi ya ndani Tz, Kisha baadae hao ndio wanaleta mambo yanayoendelea Kenya kwenye thread...kusema kweli kuna mambo mengi ya kenya huwa napata habari kuyahusu hapa jf kupitia kwa watanzania 😂
 
Naona wakibisha kuwa wakenya wanafuatilia mambo mengi ya ndani Kisha baadae hao ndio wanaleta mambo yanayoendelea Kenya kwenye thread...kusema kweli kuna mambo mengi ya kenya huwa napata habari kuyahusu hapa jf kupitia kwa watanzania [emoji23]
Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya ila zaidi ya 75% ya Wakenya wanamjua mpk baba levo ikiwemo wewe pia.
 
Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya ila zaidi ya 75% ya Wakenya wanamjua mpk baba levo ikiwemo wewe pia.
Baba levo ni nani? Huwa naskia tu mkiongea kuwa alikuja Kenya akashangaa ila simfahamu.
Naomba unipe link ya TV station ambayo naweza kufuata habari za prime time...ile inayofahamika Tz
 
Baba levo ni nani? Huwa naskia tu mkiongea kuwa alikuja Kenya akashangaa ila simfahamu.
Naomba unipe link ya TV station ambayo naweza kufuata habari za prime time...ile inayofahamika Tz
Ngoja nikutafutie comment yako ukishangilia baba levo kuja kenya, babayao255 fanya kazi yako tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tena hii ya Mwanza to Isaka isimamiwe vizuri kabisa kila siku ujenzi ni asilimia 4 zaidi ya mwaka sasa, ingekuwa amepewa Dar to Moro ingekuwaje maana zile sehemu ni korofi sana.
 
wewe joto la jiwe hebu sikiza....unasema kenya hatuna chakula na ajira???? je waelewa unachosema kweli????? sisi kenya gdp yetu sahii ni almost 115 tumewashinda tz na almost 40 to 50 billion dollars...fikiria kw amakini.
Je unajua ninini huleta gdp ikwa juu....ni ajira kwa wingi yaani mazao ya nchi toka kila sector zina zalisha zaidi....From the top 6 countries in africa i9n regards to gdp....kenya ndiuo isiyo na mafuta na advantages kama madini na zingine zinazowasaidia wenzetu kuwa juu..kenya tuko juu kwa sababu ya akili yetu na bidii na upendo kwa majirani zetu.. yaani tunawakaribisha wote bila ubaguzi.
Kenya tuna vyakula na tuna ajira tele. usidanganywe na taarifa za habari mnazoziskia hapa na pale. Kenya tuko sawa sana....Ndio sijakataa hatuja barikiwa na nchi yenye rotuba kama uganda na tz...lakini tuna jikimu vizuri tuu.

Tunazo kila sababu za kuwaongoza majirani zetu.. we are the big brothers and this kind of responsibility usually comes by default...kama vile marekani wanavyotawala dunia na kujihusisha na maswala ya nchi mbali mbalui.. Vivyo hivyo ndio kenya tunavyo jishughulisha na mambo ya majirani zetu.

Elewa kuanzia leo kwamba kenya tunazo pesa za kutosha kujisimamia kihali na mali.....nishasema hivi na nitarudia ikiwa tz mna survive na almost half of our gdp wakati mpo ten million more than kenyans...ina maana kuwa we can do so well with the gdp equal to yours and be able to save even more.


WACHA WIVU....YAANI SIPENDI UBISHANI WA KIHOLELA
 
Nina wasiwasi na washauri wake, watu waliomzunguka yawezekena wanakitaka hicho kiti sijui kama watamshauri vizuri ili afanikishe miradi yake.

Mradi wa Jangwani na mto msimbazi, barabara ya Morogoro to Dom, Chalinze to Segera, Namanga Horiri, Dodoma-Arusha via Kondoa, Dodoma- Singida zote hizi ni double road kama akifanikiwa ni miradi mizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…