dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
aki kweli IamLee 😅😅 sio wewe pekeyako. hivi, kumbe tuko wengi yani. pia mm sijui kitu kuhusu siasa za kibongolalaKumbe mnafuata politics za Kenya...the only politicians I know from Tz are Tundu Lissu and Samia Suluhu na yule jamaa wa "ooliskia wapi" the only party i know is CCM... kindly send a YouTube link to one of your tv stations so that I can watch prime time news hata for once. Find out what you guys are up to...
Ana fanya nini huko ? Analimwa kwenye uzi gani?Watanzania nendeni mkasaidie Geza Ulole kule Nairaland. Jamaa kanalimwa kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji1787]
Sisi mtaani kwetu wanasemaSisi kitaani kwetu mtu ukimpiga kirungu hata cha jero kama hana huwa anasema "Dah kama Kenya mwanangu" hapo tunakuwa tushaelewa kwamba huyo mtu anamaanisha hana kitu yani yeye mwenyewe ana njaa kama Kenya.
Lete na picha za barabara za chini ya hiyo expressway ni ajabu ajabu ajabu!🚮🚮🚮
NiliwaambiaKumekucha
Ccm ni maviiiIla jamaa wa lot 5 wanatakiwa kushikiwa viboko juzi Majaliwa analalamika CCECC wameondoa wafanyakazi JPM bridge na kupeleka SGR! Kwangu mimi lawama zangu ni kwa Prof. Mbarawa maana kampuni iki-violate mkataba inapaswa iwe penalized!
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji867][emoji867][emoji867]Yuko kazini Ikulu,wewe unaona anafanya nini?[emoji116]
View attachment 2217842
View attachment 2217843
Kovidi ya kwanza ilichangia, ilikuwa inatisha sana. Pia jpm alikuwa na jitihada kufanya miradi imalizike alitumia nguvu zote na kuifuatilia kwa bidii tofauti na huyu mpumbavu tuliyenaye sasa na serikali yake uchwara ya kujaza vyoo tuMradi wowote ambao unakua financed by gov delays ni kawaida, Magu mbona hadi anatwaliwa hakumaliza Sgr dar moro? Wewe unaposikia serikali imetenga 800b kwaajili ya bwawa hapo ukute mkandarasi anahitaji hata 2trill amalize kazi sema kapu hilohilo ndio linatakiwa lilipe salary..lijenge barabara kulipa wazabuni wengine nk...tuliopo huku serikalini tunaelewa vizuri haya mambo
Ndio ukweli wenyewe huo. Sehemu nyingine unakuta haziruhusiwi kupiga picha, au unafanyiwa uzandiki na hivi wajue wewe ni mgeni utazibguliw kweli kweli.Yaah mara nyingi unajikuta unaenda nchi za watu ukiwa na mission maalumu!!!Na kuna maeneo unapata curiosity kutoa simu yako au camera kupiga picha!!!Hujui nini kitafuata unaweza ukajikuta unaacha shughuli yako iliyokupeleka ukaanza kuangaishana na watu wa usalama ama vibaka. Especially nchi kama Kenya [emoji23].
Hawa na Wakenya huwa hawana tofauti yoyote kujisifiwa tu kwa GDP wakati uhalisia wa maisha yao upo hovyo kwa ground.Sasa nchi kama Nigeria bei ya mafuta inapanda kwa kisingizio kipi? Si Dangote ka-launch the largest oil refinery in the whole world!?
MY TAKE
Vitu kama hivi vinafanya ni-doubt Nigeria's GDP figure!
Hakuna taratibu zozote za manunuzi zilizokiukwa. Tanzania procurement laws zinaruhusu procurement za aina tatu. 1. Single source procurement where you choose only one supplier 2. Closed procurement where you select only a few suppliers walete bids zao 3. Open procurement hii ndio kila mtu anaweza akaleta bid sasa inategemea na mahitaji husika na strong justification za kuchagua any of those procurement systems above.Sasa kama wanaweza mbona unashadadia taratibu za manunuzi kutofuatwa? Wapi kunakuwa na ulinzi zaidi? palipo na ufuatwaji wa taratibu, kanuni na sheria au palipo na uvunjwaji wa taratibu, kanuni na sheria?
Mpuuzi huyu anatafuta uteuzi sijui atapewa nafasi gani, kwahiyo anatuambiwa hivyo ili itusaidie nini sisi? Mtu mnafiki kama huyu ndio awe kiongozi atafanya nini cha maana zaidi ya kujipendekeza tu.
Usimamizi pekee hautoshi bali reputation ya hiyo kampuni husika na regulator wake ni muhimu pia. Hata ukiwekwa wewe usimamie na jamaa wanavyojua kupenyeza rupia utashindwa tuu kusimamia vizuri.Usimamizi ndio kila kitu duniani, Wajapan wanasimamia waajiri wao hadi muda wanaotumia kwenda chooni kujisaidia, kazi ni usimamizi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Usisahau kumwambia umakondeni, Wamanyema Kigoma na Wahaya mkoani Kagera, atapagawa huyu jamaa.Tanzania tuna kila kitu. The blessed Land.Ukija bongo we si ndo utapagawa kabisa wewe, Bongo kuna mabinti wewe si uswahilini si ushuani!! halafu ni varieties tofauti tofauti kali kinyama!, Ukija mbongo ntakuchukua tukakae kdg pale makumbusho stage wkt wa peak hours![emoji1787] Then nakupeleka Arusha mjini au sijui nikupeleke Tabora kwa wanyamwezi, au Znz, Tanga au kwa Kilimanjaro kwa wachaga?!Mchaga akikubali udongo ni tukio dunia nzima.[emoji23][emoji23][emoji23].
Aisee ni vitu konki sana [emoji173][emoji173]DSM View attachment 2216765nyingine [emoji116]View attachment 2216770tena [emoji116]View attachment 2216771View attachment 2216773mmh this is DAR [emoji116]View attachment 2216778View attachment 2216779View attachment 2216781View attachment 2216785View attachment 2216786dar is amazing [emoji116]View attachment 2216788View attachment 2216790View attachment 2216791View attachment 2216794View attachment 2216797View attachment 2216798View attachment 2216804hapo mzee dyfre. .? Vipi hivi vitu nimepost hapo ukiondoa Basketball ni kitu Gani kingine kipo NAIROBI.?
Huyu jamaa ameelezea vizuri kinachofanyika.Tony254, hivi huyu jamaa unamuelewa?, huyu ni miongoni mwa viongozi Kenya ambao ninawafuatlia Sana, inaonekana anayumba Sana, au ni mtu mwenye kujali maslahi yake binafsi tu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
If our president owns a helicopter we will definitely take him or her to task ndio atueleze kwa mshahara wake amewezaje kununua helicopter sisi Watanzania sio watu wa kuchezewachezewa kirahisi na wanasiasa kama nyie.Your president borrows helicopters from Kenya during the campaigns. So keep quiet.