Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongea na mtaalam wa urban studies which include urban planning, urban management, urban economics, urban infrastructure planning and management, urban finance, urban land appraisals, urban land law, urban revitalizing, urban rejuvenation, urban redevelopment, urban gentrification, n.k. n.k. n.k. So muda wowote unapoongea urban issues inabidi uwe makini. Siyo unatokwa na maneno hovyo hovyo.
Hahahaha 🤣🤣🤣 Wacha nicheke tu. Wewe necromancer umekua urban planner.🤣🤣
 
Are you mad?, Onyesha hiyo post Kama ni kweli

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Heeeheee

Sifuatilii mambo ya Tanzania kama unavyofuatilia ya Kenya ila najua binadamu ni wale wale na hivi visa utavipata kila mahali. Shida ya Wabongo ni denial. Siku Kibaki akifa nilitafuta video pale YouTube nikaangukia moja ya TBC news, yani media yenu ilivyo ni kama Kenya ilivyokua wakati wa Nyayo. Yani 70% news ni kusifia Rais na serikali na kurudiarudia ufunguzi na ujenzi wa miradi. Yani hamna journalists wanaojituma kuangalia matatizo yanayowakumba wananchi wa kawaida. Yani kama North Korea vile.
 
Barabara iko zigzag lakini sioni milima ama nyumba za maana.

Screenshot_20220505-114247_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom