Jengeni barabara bana. Huoni hata aibu ati with all the size Tanzania only has 8,000km of paved roads
Unaringa na 19km yet Thika Road ni 50km
So dwarf yet most expensive 😕Tunangoja utuonyeshe barabara za Dar is slum. Mbona umekuwa muoga Tena?🤣🤣🤣🤣
Kilometers za BRT unazijua? 🤔Unaringa na 19km yet Thika Road ni 50km
Ali Hassan Mwinyi 9 mpaka 13 lanes bado unataka nyingine?Tunangoja utuonyeshe barabara za Dar is slum. Mbona umekuwa muoga Tena?![]()
Ali Hassan Mwinyi 9 -14 lanesTunangoja utuonyeshe barabara za Dar is slum. Mbona umekuwa muoga Tena?![]()
Weka picha hapa wewe baboon 😂😂🤣Ali Hassan Mwinyi 9 mpaka 13 lanes bado unataka nyingine?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
14 Kwa midomo sindio?😂😂🤣
14 indeed 😂😂🤣👇👇
Heshima ya moyoni ndo hio mkuu..atulie aone heshima za kutoka moyoni za wabongoKipindi kile sukari imefichwa serikali ya awamu ya 5 ikaanza msako, huyu mama alivyoingia ikulu alikosoa hiyo hatua, naona nae anafanya yale yale 'kuwabughudhi' wafanyabiashara 😄
Ni hiyo tu?Ali Hassan Mwinyi 9 mpaka 13 lanes bado unataka nyingine?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wapi road markings? 🤣 🤣
Picture nzuri kweli, inaivua Nairobi nguo kwenye point ya greenery
Sasa umetoka Kwa barabara umerudi Kwa greenery?🤣🤣😂Picture nzuri kweli, inaivua Nairobi nguo kwenye point ya greenery
They don't have paints.Wapi road markings? 🤣 🤣