Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuwa muangalifu jirani kuna vibaka wanatokeaga hapo lucky summer na korogocho Sura zao ukiziona huitaji maelezo🙂🙂
Hahaha 😂 😁 Asante for the advice. Hata ninaelekea huko sasa hivi. Yaani wewe unaijua maeneo hayo kunishinda. Mimi bado sijawahi kuenda Kasarani stadium. Huwa sipendi mambo ya kujumuika na umati wa watu.
 
Leta BOQ ya hiyo project inayoonyesha ni 6 lane road, mbona simple

Mimi nimeshakuoneaha ni 4 lane kitaalam

View attachment 2214856

View attachment 2214857
Kwa hivyo tuseme hii sio barabara ya Dongo Kundu? Hii ni barabara ya kuelekea mbinguni iliyojengwa na nabii Elijah sio?

1651906569438.png
 
In 2021, Algeria canceled a $902 million debt it was owed by 14 African countries (Benin, Burkina Faso, Congo, Ethiopia, Guinea, Guinea-Bissau, Mali, Mozambique, Niger, Sao Tome and Principe, Senegal, Seychelles, Tanzania and Mauritania) without asking for any compensation.
 
Apparently Kenyans excelling in there career in Tanzania is a remarkable milestone,,
Hata Wewe dogo lazima unaota uje kufanya kazi Tz. Karibu sana, I can help you get job in Tz in one of our Healthcare Institutions’ Facilities, ila uwe na walau a BSc in Lab Sciece (should be medical)
Hii ni kama vile Mexicans wanavyostruggle kuingia US.
Akiwa na BSc Laboratory Science I can help him get a job starting salary USD 2000

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Akiwa na BSc Laboratory Science I can help him get a job starting salary USD 2000

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mtu wa Bsc analipwa usd 2000 kwa mwezi???? Hapa JF watu wana vituko sana. Kama madaktari wenu wanaoanza kazi hawalipwi hilo pesa ndio itakuwa mtu wa Bsc?? Tunajua mshahara wa madaktari wenu wanaoanza kazi.
 
Back
Top Bottom