The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nje kabisa ya Dar hapo, ww hyo road inakuuma sn alafu unaumia zaidi unaposikia wamejenga Watz kwa mikono na pesa zao. Ngoja nikuongeze




Nje kabisa ya Dar hapo, ww hyo road inakuuma sn alafu unaumia zaidi unaposikia wamejenga Watz kwa mikono na pesa zao. Ngoja nikuongeze




Ni muda mfupi tu lakini tayari imechakaa na barabara imefubaa. Hawa watu wana pepo la uchafu ambalo makao makuu ya Afrika yapo Nairobi. Mkaombewe haki.Oneni drainage.



Wenyewe huita nzege!
Ukilipia ticket unakaa kwa kiti nzuri ambayo ina back-rest pa kuegemea mgongo usichoke sana.
Tulia hivyo hivyo kazi ndio inaanza manzee!!Hizi Takwimu sina hakika kama ziko sahihi,bil.142 sio pesa za mchezo mchezo.
Cheki na Cost Fallacy yuko vizuri sana awamu.Daah kwa staili hii na mm naombeni conection jamani
This is a big lie. I'm coming back to expose your lies.MDs aren’t the best paid employees kwa Tz, kuna public institutions pays from 800-1000$ kwa anaeanza kazi Tz,
It’s only Teachers and Medical personnel wana lipwa kiduchu TZ, the rest wanakula good wages,
Fautilia salaries za TPA, TRA, TBS, NSSF and other pension funds, see also organisations like TANROAD, EWURA, TPDC, NIMR, TANAPA, TALIRI, MSD, Public higher Learning institutions, NEMC, Mamlaka za maji za mikoa and all public organizations and institutions.
A reason Tanzania tops the Region when it comes to average salaries for employees.
Kumbe ni four lanes?
Kwahiyo usipolipa ticket utakalia nzege?Ukilipia ticket unakaa kwa kiti nzuri ambayo ina back-rest pa kuegemea mgongo usichoke sana.
Hii ndio bus terminal ya hadi mabus ya nje ya kunyaland,wakunya wako nyuma sana,by the way classic bus ni kampuni ya usafirishaji inayomilikiwa na MTZ