chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,117
Oneni drainage.
Ipo hovyo sababu wa chini hawamlipi mchina chochote, ndio maana hata aliamua maji yawamwagikie kutoka juu poa tu.
Oneni drainage.
Weka post yangu niliyokutukana ambayo " I quoted this post of yours". Pili kwani huyo mkenya hapo kwenye Twitter anazungumzia media za Tanzania au anashangazwa na serikali ya Tanzania kufanya sherehe kila wakati?, Tumia akili yako.Heeeheee
Tunaomba utuonyeshe rangi ya kiti ulichokalia tafadhali
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapo kajiumbua mwenyewe na utajiri wao wa magdpWakuu muoneni huyu mkunya anachoongea![]()
umekalia "nzege"! huu uwanja "haunanga" viti!!
umekalia "nzege"! huu uwanja "haunanga" viti!!
"Ukiskianga" "nzege" unatoa evidence fasta!
We si umekaa vip, kwani upande wa pili we unaona viti
Nilikuwa nadhani ni utani kumbe ni kweli huu uwanja kuna watu wanakalia zege











Kote huku hakuna viti aisee, alafu wakunya hawapendi kabisa michezo ona uwanja ulivyo empty.