Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Kimataifa indeedAsante sana, ivo ndo tunataka![]()
Kimataifa indeedAsante sana, ivo ndo tunataka![]()
Vipi kwanini mnakula mafii, uko wakati mko na uchumi mkubwa 114bill GDP?50mYa Arusha ni leni nne, hii ya Mombasa ni leni nane. Usijitie hamnazo.
Hicho nini?
Approach road lazima iwe pana kidogo but does not loose the meaning that it is dual carriagewayKwa hivyo tuseme hii sio barabara ya Dongo Kundu? Hii ni barabara ya kuelekea mbinguni iliyojengwa na nabii Elijah sio?
View attachment 2214962
Mtu wa Bsc analipwa usd 2000 kwa mwezi???? Hapa JF watu wana vituko sana. Kama madaktari wenu wanaoanza kazi hawalipwi hilo pesa ndio itakuwa mtu wa Bsc?? Tunajua mshahara wa madaktari wenu wanaoanza kazi.
Kuna Government jobs na Private jobs, yeye atamtafutia kazi katika private sector, who knows inawezekana yeye ndiye aka muajiri wakeMtu wa Bsc analipwa usd 2000 kwa mwezi???? Hapa JF watu wana vituko sana. Kama madaktari wenu wanaoanza kazi hawalipwi hilo pesa ndio itakuwa mtu wa Bsc?? Tunajua mshahara wa madaktari wenu wanaoanza kazi.
Sawa nadhani tumeelewana. Sikusema kwamba barabara nzima ni 8 lane. Nilimaanisha tu kwamba sehemu fulani ni 8 lane lakini sijui ni kilometre ngapi. Hio nitaifanyia research baadaye.Approach road lazima iwe pana kidogo but does not loose the meaning that it is dual carriageway
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna Government jobs na Private jobs, yeye atamtafutia kazi katika private sector, who knows inawezekana yeye ndiye aka muajiri wake
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hongera Sana, Kiswahili chako kimeanza kunyooka, ulikua unatumia neno "saa hii" badala ya "Sasa hivi".Hahaha![]()
Asante for the advice. Hata ninaelekea huko sasa hivi. Yaani wewe unaijua maeneo hayo kunishinda. Mimi bado sijawahi kuenda Kasarani stadium. Huwa sipendi mambo ya kujumuika na umati wa watu.
Hawa walienda kupiga picha hko Congo au
. Mbona picha za makava ya movie tu
Kama ni kweli basi sawa. $800-$1000 per month kwa mtu wa Bachelors degree sio mbaya.MDs aren’t the best paid employees kwa Tz, kuna public institutions pays from 800-1000$ kwa anaeanza kazi Tz,
It’s only Teachers and Medical personnel wana lipwa kiduchu TZ, the rest wanakula good wages,
Fautilia salaries za TPA, TRA, TBS, NSSF and other pension funds, see also organisations like TANROAD, EWURA, TPDC, NIMR, TANAPA, TALIRI, MSD, Public higher Learning institutions, NEMC, Mamlaka za maji za mikoa and all public organizations and institutions.
A reason Tanzania tops the Region when it comes to average salaries for employees.
Usibishe vitu usiyojua njioo huku upate ajira acha kukaa kariadudu tuu kijana.Mtu wa Bsc analipwa usd 2000 kwa mwezi???? Hapa JF watu wana vituko sana. Kama madaktari wenu wanaoanza kazi hawalipwi hilo pesa ndio itakuwa mtu wa Bsc?? Tunajua mshahara wa madaktari wenu wanaoanza kazi.
Hahaha. Kiswahili cha Tanzania huwa kinanichosha wakati mwingine. Inanibidi nirudi kwa kiswahili cha Kenya ambacho nimekizoea.Hongera Sana, Kiswahili chako kimeanza kunyooka, ulikua unatumia neno "saa hii" badala ya "Sasa hivi".
Mimi ninaelekea huko saa hii. VS. Mimi ninaelekea huko Sasa hivi/ hivi sasa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tunaomba utuonyeshe rangi ya kiti ulichokalia tafadhaliNimewasili
View attachment 2215062



Nope, it's a very normal word necromamncer. That's why I'm shocked you guys don't know it.
Tony254 najua wewe huwa unapenda ku argue na facts embu tuletee hapa BOQ or taarifa ya mradi inayosema ni njia 8. Short of that it is a dual carriageway ya kawaida.Ya Arusha ni leni nne, hii ya Mombasa ni leni nane. Usijitie hamnazo.
Hakuna neno slum hapo sawasawa?i truely truely agreeutawasskia wakisema dar hakuna slums.....
kisa, +90% of darslam is slums itself hence no clear classification, that's according to UN Hatitat 2019
View attachment 2214733View attachment 2214734
Kazi pekee anayoweza ni kuchafua vyoo ikulu