Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kujidhalilisha ni huku. Andrew Kibe anawaita lambistic.

Bongo-470x264.jpg
WhatsApp-Image-2022-04-07-at-10.53.42-AM.jpeg



Romance na mtu mwenye njaa ni maji na mafuta 😅😅😅

Mna dhiki nyingi zinazowafanya muishi maisha yaliyojaa misongo na majanga, muda wa kuwa romantic mnapata wapi?
 
Naomba unitajie kisa hata kimoja kwamba dada Fulani alimtuma hazi yake au boyfriend Kwa sir jah kisa wealth au properties 😀
Sifuatilii mambo ya Tanzania kama unavyofuatilia ya Kenya ila najua binadamu ni wale wale na hivi visa utavipata kila mahali. Shida ya Wabongo ni denial. Siku Kibaki akifa nilitafuta video pale YouTube nikaangukia moja ya TBC news, yani media yenu ilivyo ni kama Kenya ilivyokua wakati wa Nyayo. Yani 70% news ni kusifia Rais na serikali na kurudiarudia ufunguzi na ujenzi wa miradi. Yani hamna journalists wanaojituma kuangalia matatizo yanayowakumba wananchi wa kawaida. Yani kama North Korea vile.
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba Ukosefu wa (Maintainance and Repair) ya miaka yote huko nyuma ghafla tu madhara yake yalikua yanangojea uingozi mpya ndio uanze kujitokeza?.

Mkuu Kama kweli upo "fair"katika kuangalia hili tatizo, tuanzia kipindi cha Kikwete, hali ya umeme ilikua mbaya Sana, mgao, kukatika kwa umeme hovyo hadi waziri mkuu Edward Lowasa likamsababishia kujiuzulu.

Alipoingia Magufuli alifanya mageuzi makubwa Sana katika sector ya umeme, kumbuka alikua ni vijiji 2000 tu vimeunganishwa umeme Kati ya vijiji 12000 Tanzania nzima, hadi anakufa alibakisha vijiji 2500 tu kuunganishwa umeme.

Sihitaji kutaja Mambo Kama kuondolewa kwa "service charges", kuondolewa kwa gharama za kununua nguzo au transformar kwa wanaotaka kuunganishiwa umeme, vijijini kuunganishiwa kwa Tsh 27000,
Mgao kutokuwepo tena na mengi Sana siwezi kuyamaliza kuyataja.

Huwezi kueleweka Kama mafanikio yote haya yanapoanza kutoweka na kurudi enzi za Kikwete, sio rahisi watanzania kuelewa. Kwahiyo athari za kutofanya Maintainance zilikuwepo enzi za Kikwete, alipoingia Magufuli yeye hakufanya Maintainance yoyote kwa miaka mitano, tulitegemea umeme ungeendelea kukatika Kama ilivyokua katika utawala wa Kikwete, lakini hatukuona kukatika kwa umeme katika kipindi chake, ghafla tu baada ya kuondoka, athari za uchakavu zinaanza tena kujitokeza, hivi kweli watu wazima tunadanganyana kirahisi kiasi hiki?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sifuatilii mambo ya Tanzania kama unavyofuatilia ya Kenya ila najua binadamu ni wale wale na hivi visa utavipata kila mahali. Shida ya Wabongo ni denial. Siku Kibaki akifa nilitafuta video pale YouTube nikaangukia moja ya TBC news, yani media yenu ilivyo ni kama Kenya ilivyokua wakati wa Nyayo. Yani 70% news ni kusifia Rais na serikali na kurudiarudia ufunguzi na ujenzi wa miradi. Yani hamna journalists wanaojituma kuangalia matatizo yanayowakumba wananchi wa kawaida. Yani kama North Korea vile.
Jaribu hata Ku Google basi usiwe mvivu 😀
Yaani bongo story za hivo 0.01%na si bongo Tu nimebahatika hata kufika nchi nyingi afrika sema west Africa kidogo mnaendana Kwa Tabia hususan wayoruba 😀
 
Jaribu hata Ku Google basi usiwe mvivu 😀
Yaani bongo story za hivo 0.01%na si bongo Tu nimebahatika hata kufika nchi nyingi afrika sema west Africa kidogo mnaendana Kwa Tabia hususan wayoruba 😀
Your media is useless and you don't have much english sources online. Story mmejaza online ni kiki za wanamuziki wenu. Furthermore, I have no time for that..............you can keep hiding your head in the sand.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaonyesha kila kitu mpaka future yake[emoji1787].
ila nimekushika mzeeee.......... 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

Screenshot_20220505-204534_Gallery.jpg
Screenshot_20220505-205126_Chrome.jpg


Tsh494,000÷ksh20≈Ksh 25,000/- only.!!!

Now this one story has made my day. Today😅😅😅😅😅 ako wapi The best007, tucheke pamoja naye
 
Your media is useless and you don't have much english sources online. Story mmejaza online ni kiki za wanamuziki wenu. Furthermore, I have no time for that..............you can keep hiding your head in the sand.
😀😀😀😀Ayaaa bwana nyie mnaojua queen's English Acha Sisi tunaoficha news na Ku select what should be published and what should be excluded, luckily you are all informed 😀
 
Nimesoma maongezi yenu..sasa ngoja nikuambie kitu kuhusu huyo makamba wako aka obama wa lushoto
Huyo obama wa lushoto ni mtu wa siasa sana..na sisi tanesco hatupendag siasa..ukileta siasa yoyote ndan ya tanesco tunakuchana na kukukataa live live yan.. kuna kipind plant managers na wakuu wa kanda (zonal managers) na supervisors wengine tulikutana dodoma.. katikati ya kikao obama wa lushoto alileta siasa zake eti hatufanyi maintenance na vitu vingine kama ile barua aliyoiweka mtandaon.. kuna vitu havikuwa ukweli.. kuna manager wa kanda kutoka Tanga akamchana live huyo obama..na akamwambia wew ni mwanasiasa lkn asituletee siasa ndan ya tanesco..siasa afanye huko kwa wananch na si ndan ya tanesco..nakumbuka hio siku tulisimama wote na kumpigia makofi..obama sasa, uso ulisimnyaa kama kuku kalowa na maji..na tokea siku hio hajawah kuleta siasa zake tena ndan ya mikutano ya tanesco.. na kwa taarifa..hakuna mtu yeyote anaemkubal huyo obama ndan ya tanesco.. heri ya kaleman maana yey alielewa lugha yetu..siasa anafanya nje lkn ndan ya tanesco hajawah kuleta siasa..ukizingua anakuzingua kweli

Suala la peak demand..data nimeziweka tayar..hakuna siku tulizidiwa kwenye peak demand even on scheduled maintenance days..wew na obama wako wote ni machizi tu
Mkuu praise team hawawezi kukuelewa kabisa.Wao ni kuunga hoja ziwe nzuri au mbaya as long as zimetamkwa na serikali, jambo la kushangaza akikanusha hawaji kusema na hawajistukii.

Nilihoji huko nyuma imekuwaje tumerudi nyuma kiuchumi kwa kauli ya kiongozi wetu nikajibiwa kiutalaam na maelezo mengi tu.

Jana yeye mwenyewe katamka eti imeandikwa wapi hiyo kwamba tulirudishwa nyuma kiuchumi? Kamba bado tupo pale pale. Mtu mmoja ana kauli 2 kwa wakati mmoja, maajabu haya??

Ukweli ni upi tupo Lower Middle Income au tupo chini ya hapa?
 
Show us yours then I'll proudly produce mine without hesitation.
Hata ukiwaonyesha certificate yako, blank out your name. Cover your name. Hawa watu wanadhani Wakenya hawajasoma. Hawajui kwamba the biggest problem in Kenya right now is graduates lacking employment. Basically we have more educated people than even the local job market can handle. Ndio maana unaona Wakenya wengi waliosoma wanaenda majuu kutafuta greener pastures.
 
Bwana Mapesa anakwambia:

"The reason why am posting my personal life here it's because you requested for it, next time if you want me to show even my nails I won't show you" cha ajabu juzi akaonesha buti lake lenye mashavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] buti lenye mashavu.
 
Back
Top Bottom