Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With these kind of reasoning I'm now starting to question your education level. How can students pay to usea school library?
Elimu uliyo nayo ya diploma huwezi kuelewa nilichomaanisha mpumbavu wewe, chuo ulipokuwa unasoma diploma yako ya unesi ulikuwa unatumia computer za chuo je ushawahi kuilipia hiyo computer? Na kama hujailipia je chuo kinawezaje kununua computer nyingine.
 
Wana maisha magumu mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220505-221237.jpg
 
Ni hectares 30 ndio zinampa jeuri ya kutunishiana misuli na Dar

View attachment 2212778

Pugu forest ni dense natural forest kama ya Amazon, hawa watu empty sana

View attachment 2212779View attachment 2212780
Yaani huwezi kuamini kama zinapatikana ndani ya Dar halafu wanatokea wapuuzi fulani wa kaskazini eti Nairobi is bigger than Dar, how comes?

Ila huu Uzi umewatoa tongo tongo kibao. Hata wakikaa kando nje ya Jamii forum wanakubali kimya kimya na wanashangaa kile walichokuwa wakiambiwa na walimu wao.Futeni hizo mindset zenu za kikoloni hamna lolote ni choka mbaya tu.
 
Ukiona matajiri 10 wamejenga descent house Kenya, juwa kwamba kuna maskini 10,000 wamejenga nyumba za mabati pembeni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220505-221221.jpg
Screenshot_20220505-221210.jpg
Screenshot_20220505-221229.jpg
Screenshot_20220505-221147.jpg
Screenshot_20220505-221137.jpg
 
I know the idiot's age.., 32, I don't type anyhowly kama nyie.., kumbe mko hovyo tu, ki fikra na kwa ground, so mnaona an idiot like Diamond as a demigod?, wacha nikuelezee, kuna watanzania, waganda ama waganda weusi ama jamii yenye utajiri kuliko diamond kwa mbali na huwajui na hawajulikani wewe kilaza, jaribu kufikiria, kila mtu sio mwenzako kilaza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa watajulikana vipi bwana Don wakati wao si wasanii? Wewe umemjuaje kama siyo kupitia muziki wake kwa midia?

Ila ahsante kwa taarifa kwamba uko much better than Diamond when it comes to money and wealth, unaplay low profile.

Nitajifunza life sytle yako ya kuota ndoto n kuamka huku nikiamini siku moja nitaamkia Karen nikiwa Rais wa Kunyaland.Halafu wewe utakuw Naibu wangu.

Kama ni ndoto za hivi huwa tunaziota sana manzee. Kumbe next stage unakuja jamii forum unapost. Nimeanza sasa.
 
Elimu uliyo nayo ya diploma huwezi kuelewa nilichomaanisha mpumbavu wewe, chuo ulipokuwa unasoma diploma yako ya unesi ulikuwa unatumia computer za chuo je ushawahi kuilipia hiyo computer? Na kama hujailipia je chuo kinawezaje kununua computer nyingine.
Ndio maana nikasema na wasiwasi hata ngazi ya certificate inawezekana hawajafika hawa watuu wameishia secondary tuu mambo ya chuo hawajui.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom