Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile ada unayolipa inakwenda wapi? Unadhani vitabu vinajinunua vyenyewe? Wapumbavu hamjui kitu, we unaona unaweka tako lako pale unadhani hulipii.
Shule ilishindwa kutengeneza modern library, wachina waka donate. Wacha hasira, hio library ni ya donation hata imeandikwa kwa herufi kubwa CHINA AID.
 
Nionyeshe msitu ya Dar kama hii nifunge account sahii. 🤣 🤣 🤣
Karura Forest || Brand Film || 10th Anniversary FKF Management - YouTube
Huo mbona si chochote 🙄

Hii project unaijua?

2022-5-5_18-47-3.PNG


Screenshot_20220505-184610.png
 
mimi sio wa kufurahisha mtu dogo., ukatae ukubali sio tatizo langu, wewe baki na fikra zako, tusonge mbele..., kwa majaliwa nikitua Tz nitakujuza, mambo ni pole pole, wacha uoga na fikra za kifukara.,
Lazima tuheshimu watu waliofanikiwa maisha.. usiwe mjinga kiasi hicho.. sisemi tuwaogope lahasha, lakini tuwaheshimu. Kwama ambavyo hapo kwenu serikali yenu inavyoheshimu watu wenye pesa
 
Huna unachokijua bwana mapesa zaidi ya "the reason am posting my private life here it's because you requested for it, next time if you want me to show you even my nails I won't show you"
With these kind of reasoning I'm now starting to question your education level. How can students pay to usea school library?
 
With these kind of reasoning I'm now starting to question your education level. How can students pay to usea school library?
Kule kwenye kulipa ada, kuna mchanganuo wa matumizi yote ya hiyo hela ya ada uliyolipa, ikiwemo tution fee, n.k uku kwetu ukiwa unalipa ada unapewa kabisa fomu yenye mchanganuo huo for example. Chuo nilichosoma mimi Mwanza.. labda kama huko kwenu hakuna mambo hizo, but usijeukamtukana/ kumbeza mtu kwa vitu ambavyo huvijui, huo ni upumbavu. ni juu ya level ya ujinga
 
Back
Top Bottom