Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi unaweza kuiangalia yote kwa picha moja laini Dar ni tofauti sana kuna sehemu unaweza kukaa hata miaka 5 hujawahi kwenda na siku ukienda unakuta imebadilika sana.Dar ni kubwa sana na inakua kwa kasi mno. Hapa sote ni mashahidi kuna picha zote ambazo hazijawekwa humu tunaweza kuanza kubishana wenyewe kwa wenyewe kwamba hapa ni wapi au siyo Dar kwasababu hatujaizunguka yote.
Dar kama huna mishe za hizo sehemu huwezi kwenda kwasababu ya umbali uliopo.
Wanalinganisha ukubwa siyo kwamba hawajui ila wanajitoa tu ufahamu kuchangamsha thread.
Kuna picture moja huwa wanapenda sana kuirefer kama Dar yote 😄 cha kushangaza hata 25% ya Dar haionekani kwenye hiyo picture.
 
sasa kila wakati unapoicheka Kenya🇰🇪 pia nae uicheke "kaka zenu" wa dhati, South Africa🇿🇦

usitumie Slums kama kigezo cha ku gauge umaskini wa nchi. south africa(2nd largest gdp in sub saharan) is a rich country, and so is kenya(3rd largest gdp in sub saharan africa)


mean while, here are also Slums in South Africa, the great "Kaka Zenu"👇🏽
Screenshot_20220506-121810_Chrome.jpg
Screenshot_20220505-225249_Chrome.jpg
Screenshot_20220505-225722_Chrome.jpg
Screenshot_20220505-225415_Chrome.jpg
Screenshot_20220505-225137_Chrome.jpg
Screenshot_20220505-225024_Chrome.jpg
Screenshot_20220505-221221_Chrome.jpg
Screenshot_20220505-230120_Chrome.jpg
 
Kwahiyo 2020 uchumi ulikuwa in negative way then immediately 2021 ukakuwa kwa 7.5% hivi nyie shule mlienda kufanya nn kama mnashindwa ku calculate even small arithmetics kama hizi, jiulize iweje uchumi ukuwe ilihali majolity wanafukuzwa kazi mpk leo.
Walienda shule kusomea ujinga na kujua misamiati ya kiingereza achana nao wasikuumize kichwa.
 
sasa kila wakati unapoicheka Kenya🇰🇪 pia nae uicheke "kaka zenu" wa dhati, South Africa🇿🇦

usitumie Slums kama kigezo cha ku gauge umaskini wa nchi. south africa(2nd largest gdp in sub saharan) is a rich country, and so is kenya(3rd largest gdp in sub saharan africa)


mean while, here are also Slums in South Africa, the great "Kaka Zenu"👇🏽View attachment 2213171View attachment 2213172View attachment 2213173View attachment 2213174View attachment 2213175View attachment 2213176View attachment 2213177
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaaaah akili za kikunya 🤣🤣🤣🤣🤣Sawa basi mmefanana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna picture moja huwa wanapenda sana kuirefer kama Dar yote cha kushangaza hata 25% ya Dar haionekani kwenye hiyo picture.
Ndio hapo huwa nawashangaa hawa jamaa na ukiwaelewesha hawaelewi. Kuna maeneo kama Ununio,Boko, Bunju,Goba, Makongo,Tabata,Segerea,Kijichi, Mbezi beach na Mbezi Kimara na maeneo mengine mengi huwa picha zake hazipostiwi wanadhani Kariakoo na Posta na siku hizi wameijua Kijitonyama na Mikocheni ndio Dar tu.
 
Ndio hapo huwa nawashangaa hawa jamaa na ukiwaelewesha hawaelewi. Kuna maeneo kama Ununio,Boko, Bunju,Goba, Makongo,Tabata,Segerea,Kijichi, Mbezi beach na Mbezi Kimara na maeneo mengine mengi huwa picha zake hazipostiwi wanadhani Kariakoo na Posta na siku hizi wameijua Kijitonyama na Mikocheni ndio Dar tu.
Eneo kama hili nafikiri 100% ya wakunya humu ndani ndio itakua mara yao ya kwanza kuliona

 
Wakenya 99 kati ya 100 wangependa kuzaliwa Tz au kama c hivyo wakawe mbwa ulaya kuliko kuzaliwa Kenya na ndiyo maana wako ladhi hata kudandia ndege kuondoka nchini kwao.View attachment 2213147View attachment 2213148View attachment 2213149
Mimi huwa najivunia sana kuzaliwa Tanzania naona Mungu alitupendelea sana Watanzania nchi yetu ni nzuri mno, maisha yetu ni mazuri mno sijawahi kuregret hata siku moja eti niondoke nikaishi maisha ya nchi nyingine, na sidhani kama itatokea.

Yaani unaenda shambani unachuma parachichi, embe, chungwa, pilipilli za kila aina,ndizi mbivu na mbichi, samaki wa kila aina ukiwa karibu na mto au ziwa unaloa kwa ndoano.

Mvua ikinyesha unatumia maji ya mvua msimu mzima mmoja hadi mwingine mpaka wenye maji yao ya bomba wanakuuliza vipi mbona bili yako haisomi umeharibu miundombinu?

Ukija kwenye mboga mboga sasa ndio usiseme. Yaani hivi vitu vyote viko ndani ya shamba moja tu.

Ukija ufugaji una kuku wa mayai, kuku wa nyama, mbuzi na ng'ombe wa maziwa katika shamba moja tu.

Msimu wa mahindi na maharage unafanya kutupia tu yanajiotea yenyewe maana Mungu katubarikia mvua nyingi na udongo wenye rutuba na hatuna watu wenye njaa eti watatuibia mazao yetu shambani Kama wenzetu wanaotembea na makaratasi eti wamesoma kutushinda huku wafa kwa njaa maajabu.

Siku mkisikia Tanzania kuna watu wamekufa kwa njaa mjue Kenya nusu yake iko taabani. Hatuwezi kwasababu sisi hatuna uchoyo wa vyakula asilimia kubwa tunalima kwahiyo tutatoa msaada hata kabla serikali haijafika.

Wakenya hatuwacheki kwa njaa zenu tunawaombea ukame uishe kinachotokea ni kwamba mnajifanya mnajua sana mko juu yetu kwa maisha mazuri kuliko sisi sasa tunaamua kuwaumbua.

Nchi nzuri kama hii nawezaje kuikimbia, nifuate nini huko nje, ukitaka ardhi unanunua sehemu yoyote ile ya Tanzania na maisha yanaendelea na unaowakuta hapo ndg zako. Hatuna ukabila bwana kama nyinyi mnachinjana kwa kisa kidogo tu.

Wakenya kuweni wawazi kujua kiingereza siyo kigezo cha maisha mazuri na elimu yenu siyo nzuri kiivyo mna vilaza wengi hata huko serikalini na hata hampigi kelele mnadanganywa na mnakubali.

Mbona sisi watoto wetu wanasoma medium schools na wanaongea kiingereza kizuri tu kuwashindeni nyinyi mbona hawasemi wna akili nyingi na wako juu yetu?

Tanzania ni nchi nzuri, watanzania wana upendo na watu wote hatuwachukii ila mkimwaga mboga hakika ugali tunautia mchanga.

USIKU MWEMA GUYS.
 
Back
Top Bottom