Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nope siwezi kujiweka sentensi moja na Diamond kamwe., huyo ako way below na namaanisha kwa uhakika, wewe wacha kulazimisha fikra zako kwangu., 😂😂😂
Diamond is way below
Yeye sasa👇😂😂😂
JamiiForums-1928760687.jpg
kapuku wewe
 
Huwa wakiona tumekaa kimya wanadhani wanatuweza, wakianzaga kusema eti ka Nairobi ni green kuliko Dar huwa nawachekii nasema hiiiiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂

Hajui Tanzania kuna Shamba 1 la miti lenye ukubwa size ya Nairobi na wala sio kubwa kuliko yote 🤣

Anatutishia maisha na 30 ha 😆

Screenshot_20220505-182432.png


 
Umeshangaza watu sana leo, punguani wewe
mimi sio wa kufurahisha mtu dogo., ukatae ukubali sio tatizo langu, wewe baki na fikra zako, tusonge mbele..., kwa majaliwa nikitua Tz nitakujuza, mambo ni pole pole, wacha uoga na fikra za kifukara.,
 
Kwani students are paying to use the school library? Soja mbona unatuangusha hivi?
Huna unachokijua bwana mapesa zaidi ya "the reason am posting my private life here it's because you requested for it, next time if you want me to show you even my nails I won't show you" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom