Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kujidhalilisha ni huku. Andrew Kibe anawaita lambistic.

Bongo-470x264.jpg
WhatsApp-Image-2022-04-07-at-10.53.42-AM.jpeg

Wewe ujawahi kupenda basi unakuaga kama zwa zwa aafu waulize wenzako kama Yule mwajiri wa Coco reborn sijui alipata dem wa tanga au mburu maana hata Coco reborn Hana habari zake😀😀😀
 
If your main reason to choose a particular university is based on environment then you should not even be called " a fool " but "SI Unit of foolishness" 😂😂😂
Sawa, nimekubali, ukija na cheti tutaendelea, cheti cheti
 
Wewe ujawahi kupenda basi unakuaga kama zwa zwa aafu waulize wenzako kama Yule mwajiri wa Coco reborn sijui alipata dem wa tanga au mburu maana hata Coco reborn Hana habari zake😀😀😀
Yani niweke bango hili juu ya mumama mwenye amezaa mumama mwengine? Na mnashabikia upuzi huu? Enyewe nyinyi ni lambistic. 🤣 🤣 🤣
 
Don't tell me what to do young, I do whatever I like.
Sawa nimekuelewa lab technician najua wewe ni hunaga dogo usinitolee masters zako na Phds maaana Mimi nilisomeaga computer packages sina papers 😀
 
Mnajua nini kuhusu mapenzi nyie watu.? ni washamba kila kitu
Huo mnaofanya ndio ushamba bradhee. Dem akikupenda you do not have to be desparate to have her. Halafu the fastest way to lose a woman is to be desparate for her. Nashangaa kama Harmonize ambaye ni staa wenu hambo anaweza kuwa lambistic hivi na jee nyinyi wenye hamna kakitu? 🤣 🤣 🤣
 
Yani niweke bango hili juu ya mumama mwenye amezaa mumama mwengine? Na mnashabikia upuzi huu? Enyewe nyinyi ni lambistic. 🤣 🤣 🤣
Ni Kweli na ndo maana Tanzania huwez kuskia visa kama za huko kiambu na Central eti😀😀😀😀
 
Sawa nimekuelewa lab technician najua wewe ni hunaga dogo usinitolee masters zako na Phds maaana Mimi nilisomeaga computer packages sina papers 😀
Nani amekuuliza kitu ulisomea? Kiherehere ni ya nini?😂😂
 
Back
Top Bottom