The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Sio maneno tena,ujenzi umeanza 👇
🤣🤣🤣Who cares? Who's ode Maya? Our tourism industry is bigger than him and all the countries he likes
He got no impacts attracting high ends spenders like those we prefer most, he's so popular on backward countries and backpackers popular kinds of tourists in Kenya🤣🤣🤣
After kuvuliwa suruali now you don't care. Did you not care when you were boasting about him visiting Tanzania?
Kama umenotice kuna correlation between YouTubers wa kiafrica wanaosafiri countries tofauti tofauti na nchi ambazo wanatoka. Most wanatoka middle income na high GDP/capita countries like Nigeria, Ghana, Kenya, South Africa, BotswanaTanzania has no YouTubers. I've seen travel YouTubers from all over Africa traveling and appreciating other African countries. Tanzanians job is only to be happy when a foreign YouTuber lands in Tanzania.
Yet Tanzania ndio inaongoza Africa kwa Youtube businessKama umenotice kuna correlation between YouTubers wa kiafrica wanaosafiri countries tofauti tofauti na nchi ambazo wanatoka. Most wanatoka middle income na high GDP/capita countries like Nigeria, Ghana, Kenya, South Africa, Botswana
Maskini hawezi tembea
Kama umenotice kuna correlation between YouTubers wa kiafrica wanaosafiri countries tofauti tofauti na nchi ambazo wanatoka. Most wanatoka middle income na high GDP/capita countries like Nigeria, Ghana, Kenya, South Africa, Botswana
Maskini hawezi tembea



Nimesoma maongezi yenu..sasa ngoja nikuambie kitu kuhusu huyo makamba wako aka obama wa lushotoYupo humu anaejiita Simon amesema yuko Tanesco mwambie akupe data za peak demand sio peak hours..
Hata hivyo siku Tanesco na Makamba wanahojiwa walifanya demonstrations ya Takwimu hizo ndio maana Nika attach maelezo yao hapo juu..
Wewe unasikiliza takataka mafiii ya zanzibarKwamba enzi za Magufuli kulikua na matumizi madogo kuliko hivi Sasa?, tunahitaji kupewa ushahidi katika Hilo. Kuna njia mbili ya serikali kuthibitisha,.
1)Kiwango cha uzalishaji umeme enzi za Magufuli na Sasa hivi
2)Kiwango cha umeme kilichokua kikitumika katika kipindi cha mwaka au mwezi kwa wakati ule na Sasa hivi/Makusanyo ya mapato yatokanayo na mauzo ya umeme yalinganishwe.
Serikali/Makamba na rais Samia wote wanalalamika kuhusu uchakavu wa miundombinu ya usambazaji umeme kuwa ndio chanzo, tunaweza kuamini juu ya Hilo, lakini swali la kujiuliza ni kwamba mbona kipindi cha Magufuli madhara ya uchakavu hayakuonekana Kama inavyoonekana Sasa hivi?.
Kama kweli hivi Sasa matumizi yameongezeka kutokana na uchumi kufunguka, tunaomba takwimu ili kweli tuamini, lakini kutoa majibu mepesi mepesi kwa Mambo ya msingi Kama haya haifai.
Jambo Moja ambalo viongozi wa Sasa hivi ni lazima wajifunze ni kwamba, Magufuli amewafungua macho watanzania kwamba Mambo yanawezekana Kama watumishi wa umma watafanya kazi zao vizuri, iwe kwa kupenda au kwa kushikiwa bakora, watu hawataki maneno na maelezo mengi, wanataka kuona vitu vinafanyika
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



kwani hukuwai kusikia uongo wa mafuta ya transiforma kutumika kupikia chips ...zile zilikuwa ujuma za kifisadi za biashara za transiforma inatolewa mafuta ili iungue na kununuliwa nyingine kifisadi baina ya maafisa wa serikali na kiwanda cha kuuza transiforma..mbona kipindi hichi cha kupanda bei ya mafuta hatujasikia mafuta ya transifoma kuibiwa na wauza chips. Ila tusishangae hivi karibuni tykaanza kusikia tena hizo habariTuwekee mkuu ili tulinganishe, TANESCO hawajatoa data/takwimu zozote kuhusu wakati wa Magufuli vs na Sasa hivi zaidi ya maneno ya juu juu kutaka kuhalalisha uzembe wao.Ushahidi upi zaidi ya waliotoa Tanesco? Mbona walifanya demonstrations ya mahitaji ya umeme hadi 2021? Huo sio ushahidi au ?
Hawana account yoyote online yenye zaidi ya subscribers/followers million 5 wakati Tanzania zipo zenye subscribers/followers millions 15 🤣Mikunya na nchi zingine za Africa ili wapate youtube subscribers inabidi wazurure kwenye nchi za watu ila youtubers za Tanzania wanapata subscribes zaidi ya laki tano bila kuzurura popote.
Kama nimeandika uongo niletee subscribes za youtubers wa kunya.![]()
Hawana account yoyote online yenye zaidi ya subscribers million 3 wakati Tanzania zipo zenye subscribers millions 5![]()



Unfortunately ilikuwa ni mjadala wa mafanikio ya mama Kwa mwaka mmja kwa hiyo walifanya graphical demonstrations kwa power point kwa hiyo sikuweza kunukuu..Tuwekee mkuu ili tulinganishe, TANESCO hawajatoa data/takwimu zozote kuhusu wakati wa Magufuli vs na Sasa hivi zaidi ya maneno ya juu juu kutaka kuhakikisha uzembe wao.
Watumishi wengi wa serikali sio TANESCO pekee wameanza kupumua baada ya kupelekwa puta na Magufuli, hivi Sasa kimeanza kipindi cha "seminars", makongamano na safari nyingi zisizokua na tija, lazima watoe kauli za kuhalalisha uzembe wao.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Milioni 5 mzee sio 15 wasije wakakuumbua hawa nyumbuHawana account yoyote online yenye zaidi ya subscribers/followers million 5 wakati Tanzania zipo zenye subscribers/followers millions 15 🤣
Kwa hiyo nyie huwa mnampa Waziri Takwimu za uongo? Kwa hiyo Maharage Chande alimdanganya Waziri na Serikali?Nimesoma maongezi yenu..sasa ngoja nikuambie kitu kuhusu huyo makamba wako aka obama wa lushoto
Huyo obama wa lushoto ni mtu wa siasa sana..na sisi tanesco hatupendag siasa..ukileta siasa yoyote ndan ya tanesco tunakuchana na kukukataa live live yan.. kuna kipind managers na wakuu wa kanda na supervisors wengine tulikutana dodoma.. katikati ya kikao obama wa lushoto alileta siasa zake eti hatufanyi maintenance na vitu vingine kama ile barua aliyoiweka mtandaon.
kuna vitu havikuwa ukweli.. kuna manager wa kanda kutoka Tanga akamchana live huyo obama..na akamwambia wew ni mwanasiasa lkn asituletee siasa ndan ya tanesco..siasa afanye huko kwa wananch na si ndan ya tanesco..nakumbuka hio siku tulisimama wote na kumpigia makofi..obama sasa, uso ulisimnyaa kama kuku kalowa na maji..na tokea siku hio hajawah kuleta siasa zake tena ndan ya mikutano ya tanesco.. na kwa taarifa..hakuna mtu yeyote anaemkubal huyo obama ndan ya tanesco.. heri ya kaleman maana yey alielewa lugha yetu..siasa anafanya nje lkn ndan ya tanesco hajawah kuleta siasa..ukizingua anakuzingua kweli
Suala la peak demand..data nimeziweka tayar..hakuna siku tulizidiwa kwenye peak demand..wew na obama wako wote ni machizi tu
Ebu jamaa waliopo zanzibar uko ebu watunyoshe maelezo kabla hatujatema nyongo umu
Mwinyi kawezaje
Wide Maya ndo nini?I can't count the number of times I have seen Wode Maya visit Kenya. Mibongolala ni watu hovyo sana