Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your level of desperation is out of this world. Sasa ukianza kupoint nyumba moja moja with red arrows how many will I point here?

Your level of desperation is out of this world. Sasa ukianza kupoint nyumba moja moja with red arrows how many will I point here? View attachment 2212285View attachment 2212286
Kwnn unaweka picha za mbali? Weka karibu kama mm ninavyoweka uharo wenu tuone hizo slums alafu tujue kwamba waliongopa waliposema no slums in Tz
 
A janitor in TZ earns a salary of ksh5,000 per year. Tanzania is among the countries in the world with the lowest salaries in the world. Poleni sana majirani.

 
According to Knbs economic survey inayotolewa saa hii, uchumi wa Kenya uligrow by 7.5% in 2021.....hii ni the fastest growth since 2011
 
Nyinyi si mlisema uchumi ulikua hukui kipindi cha jpm
Sitaki siasa hoja ya kukua kwa Uchumi Tzn haijawahi shuka ila ukuaji ulipungua,kwa mfano mwaka 2017 ambao hajaweka data ,umeme ulipungua Sana kabla ya kuanza kuongezeka taratibu kuanzia 2018 na kuendelea,by 2021 hii Kasi ya ongezeko ilikuwa kubwa zaidi kuliko miaka mingine iliyopita na ndio msingi wa hoja..

Mwambie aweke hapa data za percentage change ya peak demand Kati ya 2020 na 2021 afu utaona kama kuna justification au hapana.
 
The fact that he likes Kenya, doesn't make Kenya the best country for his viewers?, he gets big number of viewers by showing Tanzania episodes than Kenya, that's why he has done many programs from Tanzania than from Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
How many episodes has he done in Tanzania?
 
Yes, she knows better that Tanzania was demoted from middle income group for one month and it was reinstated back back few days later

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
She also knows better that all your major projects are funded by loans, a far cry from the "pesa za ndani" narrative that Magufuli fed you
 
Tumalizane na mm kwanza mzee wa kuondoa slums kwa Google, hakuna county ikakosa slums Kenya na leo twende na mimi mpk kieleweke
Mbona nishindane with a fellow who considers this a middle-income area?
images (97).jpeg
 
Nimezipitia ,kaweka data za miaka inayomfurahisha yeye,nimemwambia aweke data zote za kuanzia 2016 hadi 2021,kwa sababu hoja ya serikali ni kwamba mahitaji ya umeme mwaka 2021 yaliongezeka kwa Kasi zaidi kuliko miaka mingine yote iliyopita kutokana na kukua kwa haraka kwa uchumi..

Pili hoja ya serikali ni kwamba Tanesco walikuwa hawafanyi maintenance kwa miaka 5 iliyopita hivyo systems za umeme zimechoka so with sharp demand imesababisha grid kuzidiwa and so umeme kukatika katika..

Na mwisho nimemuuliza kwamba kama hakubaliani na majibu ya Serikyna boss wake Chade ,atuwekee yeye sasa kwa nini umeme unakatika katika? Je wanahujumu Nchi Kisa hawamtaki Samia na Makamba?
Sema unataka ya mwaka gan nikuumbue..
ase mnauvumilivu sana kujibizana na huyu shoga😂
Nimemletea data ya mwaka 2020 yey anasema ni za 2021😂 oneni alivyo zoba
 
According to Knbs economic survey inayotolewa saa hii, uchumi wa Kenya uligrow by 7.5% in 2021.....hii ni the fastest growth since 2011
ikakuaje tena tukaongeza kidogo sana kwenye uchumi wetu... yani from $109b in 2021 to $114b in 2022.. why.?🤔
 
Back
Top Bottom