Mimi sio mjuzi wa uchumi ila nataka unifahamishe kitu kimoja ivi uhakika wa kula upo kwenye HDI ama haupo?Boss hata kwenye HDI Kenya imewapiga vibaya. Hakuna pa kutokea. Tumewapiga kote kote. Nenda kaangalie HDI ya Kenya kisha uangalie ya TZ.
Mimi sio mjuzi wa uchumi ila nataka unifahamishe kitu kimoja ivi uhakika wa kula upo kwenye HDI ama haupo?Boss hata kwenye HDI Kenya imewapiga vibaya. Hakuna pa kutokea. Tumewapiga kote kote. Nenda kaangalie HDI ya Kenya kisha uangalie ya TZ.
Hizo nyumba chache babaa. Hii Uswazi ni 80% ya Dar. Zikibomolewa zote hamna jiji hapo.
Tuonyeshe hio kiwanja, unajua Dar hamna estates, mitaa zote zinafana tu hivi.
Hapo kwa majina is so true. Tanzania utakuta msichana anaitwa majona zote za kizungu alafu utasikia mtu akisema tuko na kasumba ya wazungu. Tz utakuta mtu anaitwa Elizabeth Joseph something you'll never find here in Kenya and then they are the first ones to point figuresNi makosa nikiweka jina la kizungu? Ukiongea hivi mtu hawezi jua una jina la kizungu. Kwanza Watanzania mna hii tabia ya kujiita majina mawili ya Kiingereza bila jina la kiafrika Sana.🤣🤣🤣
Anyway, kukueleza tu, Kiingereza ni lugha ambayo iko developed kuliko Kiswahili ndio maana Mambo yanapokuwa ya kina au deep Sana mengi inabidi mtu atumie Kiingereza. Kwa mfano, kuna aina nyingi za duiker zote ni 22 - kuna blue duiker, Mt. Kenya Duiker, common duiker etc. Lugha ya Kiswahili zote ni duiker. Ukitaka kutofautisha inabidi utumie Kiingereza.
Naona mmeumia kisa bomoa bomoa ya jangwani.
Next time rudieni tena kuokota okota picha.
ah wapi wewe kutofautisha iwe shida kivipi? hapo si ungeweza kusema tuu Nunga wa blue, Nunga wa mlima Kenya, Nunga wa kawaida etc.Ni makosa nikiweka jina la kizungu? Ukiongea hivi mtu hawezi jua una jina la kizungu. Kwanza Watanzania mna hii tabia ya kujiita majina mawili ya Kiingereza bila jina la kiafrika Sana.
Anyway, kukueleza tu, Kiingereza ni lugha ambayo iko developed kuliko Kiswahili ndio maana Mambo yanapokuwa ya kina au deep Sana mengi inabidi mtu atumie Kiingereza. Kwa mfano, kuna aina nyingi za duiker zote ni 22 - kuna blue duiker, Mt. Kenya Duiker, common duiker etc. Lugha ya Kiswahili zote ni duiker. Ukitaka kutofautisha inabidi utumie Kiingereza.
Unatupostia video ya words without action.
Excuses galoreUkiwa unagoogle uwe unaangalia na muda basiView attachment 2210042View attachment 2210043
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Haya ni magoli ya Chama kisigino atakaye nuna anune potelea mbali




Tatizo linaanzia kwenye msingi, upimaji wa viwango siyo jambo kuu sana katika tasnia hiyo, sidhani hata kama wanajali utofauti wa quantitative na qualitative data. kwa mfano ukimuuliza Tony254 kama GDP ina unit au ni dimensionless, ataanza kubung'a.Lkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)
Naelewa kuwa per capita ni GDP per population.. lkn kusema per capita ni unafuu/utajir/uchumi wa mwananch mmoja mmoja ni kujidanganya..haina uhalisia
Kwenye hiyo pesa yao ya mafuta na sisi tutapa faida maradufu.Wakianza kuzalisha mafuta hutaamini macho yako. Gdp yao itakuwa kwa kasi sana bora pesa ya mafuta isiibiwe na wanasiasa.
Tuonyeshe hio kiwanja tufunge account. 🤣 🤣 🤣 Enda ubomoe hadi kwa google maps.Jangwani bomoa bomoa ilishapita wewe kama hutaki endelea kushare share hiyo picha ili ikusuuze stupidi manki.
Uhakika wa kula hauzingatiwi directly na HDI. HDI inazingatia mambo matatu 1. Life expectancy. 2. Education. 3. Gni per capita. Kwa hivyo uhakika wa kula upo chini ya gni per capita. Nchi yenye gni per capita kubwa kwa kawaida huwa na uhakika wa kula. Ila nakuelewa kwa maana TZ mna uhakika wa kula kutushinda sisi japo bado tuna life expectancy ya juu kuwashinda, education index ya juu kuwashinda na gni per capita ya juu kuwashinda. Nyie mumetushinda kwenye uhakika wa kula pekee japo hilo halizingatiwi directly na hdi.Mimi sio mjuzi wa uchumi ila nataka unifahamishe kitu kimoja ivi uhakika wa kula upo kwenye HDI ama haupo?
Kivipi? Fafanua.Kwenye hiyo pesa yao ya mafuta na sisi tutapa faida maradufu.
Ushaikubali $77b au sio, ss ngoja nikuambie kitu GDP halisi ya Tz ni $150b, SGR, EACOP na JNHPP zitakapoanza operation tutakuwa tunaitafuta $200b GDP in less than 5years to come.Hako kaeneo kadogo kanagenerate annual revenue ya $50B ilhali Tz yote kwa jumla...$70B![]()
Tuonyeshe hio kiwanja tufunge account.![]()
![]()
Enda ubomoe hadi kwa google maps.
Nimeshangaa kwamba per capita ya Kenya imeshaifikia ya India. Kenya ina per capita ya $2,200 na India ina per capita ya $2,300. Wao walipata uhuru 1947 na Kenya ilipata uhuru 1963. Kuna kipindi cha zaidi ya miaka kumi in the 1990s ambapo uchumi wa Kenya ulikuwa umedhoofika sana na kupata negative growth. Sasa ni muda tu kabla hatujawapita hawa watu kwenye per capita income. Wanacheza sana. Wana majirani matajiri kutushinda sasa mbona wasitrade na wao? Japan yupo hapo karibu, Singapore yupo hapo mlangoni mwao, South Korea yupo kilomita chache karibu na kwao, China ni jirani kabisa sasa wanakwama wapi? Angalau nchi za Kiafrika jirani zetu ni nchi za kiafrika ambazo zote ni masikini tunaweza kujitetea kidogo.
India chenga chenga sanaSiku utafika JKIA ndio utajua TZ Hakuna airport. Kwanza sahii na hio express way link utathani uko New York.Duh aisee, you guys need to be serious, this is not airport but a grazing yard.
Ndio maana nakuita fala.ah wapi wewe kutofautisha iwe shida kuvipi? hapo si ungeweza kusema tuu Nunga wa blue, Nunga wa mlima Kenya, Nunga wa kawaida etc.