Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unadhani nina muda wa kureply ovyo kondoo?
🤣 🤣 🤣 🤣

Image
 
Uhakika wa kula hauzingatiwi directly na HDI. HDI inazingatia mambo matatu 1. Life expectancy. 2. Education. 3. Gni per capita. Kwa hivyo uhakika wa kula upo chini ya gni per capita. Nchi yenye gni per capita kubwa kwa kawaida huwa na uhakika wa kula. Ila nakuelewa kwa maana TZ mna uhakika wa kula kutushinda sisi japo bado tuna life expectancy ya juu kuwashinda, education index ya juu kuwashinda na gni per capita ya juu kuwashinda. Nyie mumetushinda kwenye uhakika wa kula pekee japo hilo halizingatiwi directly na hdi.
Life expectancy ya Kevya ni miaka mingapi?
 
Unaweza kuona elevated section ya express way ya mchina ilipoanzia na kuishia View attachment 2210079
Unasumbuka sana bongolala, heri unyamaze tu. Elevated section inaanzia Southern bypass all the way to James Gichuru road. James Gichuru ipo mbali sana na GTC mahali michoro zako zimeanzia. This is elevated section ikipita GTC towards James Gichuru. Tuliza kende kijana wa gongo la mboto
images (71).jpeg
images (70).jpeg
 
Siku utafika JKIA ndio utajua TZ Hakuna airport. Kwanza sahii na hio express way link utathani uko New York.
Nairobi iko ligi ingine.
JKIA ni airport mbovu sana imagine ukiwa ndani kichwa inaweza gusa roof halafu kuna viduka kama vibanda vya wamachinga haviko visible at all viko katikati ya nguzo za jengo plan ya kishamba sana.
 
Unasumbuka sana bongolala, heri unyamaze tu. Elevated section inaanzia Southern bypass all the way to James Gichuru road. James Gichuru ipo mbali sana na GTC mahali michoro zako zimeanzia. This is elevated section ikipita GTC towards James Gichuru. Tuliza kende kijana wa gongo la mboto View attachment 2210146View attachment 2210149
8km ndiyo mbali sn
Screenshot_20220503-175552.jpg
 
Fala nani sasa anayeshindwa kutofaitisha majina kwa kiswahili ama? Huoni nimekusaidia hapo unapaswa unishukuru kukusaidia ulipofeli wewe.
kwa hivo blue ni neno la Kiswahili? Enyewe fala ni fala tu. Carry on. 🚮 🚮 🚮
 
Tanzania hawana pesa ya kununua plot Nairobi, usiwacheke. By the way Uganda wana embassy kwenye compound yake. Hata Somalia wana embassy ndani ya compound yake. Lakini lazy bones wanajaribu kujenga skyscraper Nairobi na hata kujenga embassy imewashinda wamebaki kurent 9th floor ya Reinsurance plaza.
Mifukara ya mwisho. Lakini Ile kelele wanapiga humu ndani!!!
 
Back
Top Bottom