Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado Kenya wanacheza na mark ya 30bn to 40bil usd over us..sijajua kwenye hizo.projections kama wali include LNG, Bagamoyo Port , New mining projects na Eacop
What you don't understand is that those projections are from 2022 to 2025. Na hao IMF sio wajinga kujua kwamba by 2025 both EACOP, LNG and Bogamoyo will not be operational. So that's why they didn't include them.
 
Mimi I am happy coz gdp per capita ya Kenya inapanda very fast. Sasa hivi iko $2,200 na nakumbuka by 2013 ilikuwa around $1,200. So in less than 10 years imeongezeka almost double. No other country in Africa, per capita yake imeongezeka faster than ya Kenya in the last 10 years.
Lkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)

Naelewa kuwa per capita ni GDP per population.. lkn kusema per capita ni unafuu/utajir/uchumi wa mwananch mmoja mmoja ni kujidanganya..haina uhalisia
 
Bado Kenya wanacheza na mark ya 30bn to 40bil usd over us..sijajua kwenye hizo.projections kama wali include LNG, Bagamoyo Port , New mining projects na Eacop
Nadhani wataiunganisha mpka itakapo kuwa inafanya kazi, vinginevyo sahii GDP yetu ingesoma around 200+bil
 
Jackson's Francolin - Only found in Kenya and nowhere else

1800
 
3yrs realy!.... no..
i think before the close of business later this year, look at their gdp growth
Utakuwa in three years, hata sisi tulingia 2017 lakin hatukuwekwa mpka 2020, wanafany hivyo ilikuangalia je utaweza kuhimili kubakia humo
 
You may be right. Although even if Uganda reaches the milestone, it may still take one or two years for imf and WB to confirm the results. They usually don't just rush to graduate a country from ldc to mic. They usually put a country under observation for one or two years before declaring a country an mic.
Its true
 
Punda milia kama punda milia 👇huyu alionekana mwenye hifadhi ya taifa ruahaView attachment 2209407View attachment 2209408albino zebra 👇View attachment 2209409. The best 007 tell them bro
Kazaliwa Kenya alafu unasema hapatikani Kenya? Tangu lini Maasai Mara ikawa Ruaha. 🤣 🤣 🤣

1.jpg

Alafu albino zebra is not a different species. It's simply a zebra with a mutation. Tuwekee species ambazo ziko Tanzania na haziko Kenya kama ninavofanya.
 
What you don't understand is that those projections are from 2022 to 2025. Na hao IMF sio wajinga kujua kwamba by 2025 both EACOP, LNG and Bogamoyo will not be operational. So that's why they didn't include them.
Wacha kiherehere projection ni ya mpka 2027
 
Lkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)

Naelewa kuwa per capita ni GDP per population.. lkn kusema per capita ni unafuu/utajir/uchumi wa mwananch mmoja mmoja ni kujidanganya..haina uhalisia
Ile siku nilisikia pesa ya Mo inagawanywa kwa Watz wote ndiyo unapata per Capita hapo hapo nikaachana na habari za per Capita income.
 
Kazaliwa Kenya alafu unasema hapatikani Kenya? Tangu lini Maasai Mara ikawa Ruaha. 🤣 🤣 🤣

View attachment 2209482

Alafu albino zebra is not a different species. It's simply a zebra with a mutation. Tuwekee species ambazo ziko Tanzania na haziko Kenya kama ninavofanya.
Tusiende mbali tunaanza na sokwe
 
Lkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)

Naelewa kuwa per capita ni GDP per population.. lkn kusema per capita ni unafuu/utajir/uchumi wa mwananch mmoja mmoja ni kujidanganya..haina uhalisia
Ndio mana huwa wanasema GDP mda mwingine sio sahihi kutumia kujua uchumi wa mwananchi wa kawaida, ni sawa na kuchukua pesa ya mo igawanywe kwa wana nchi wengine
 
Tusiende mbali tunaanza na sokwe
Heeheee - ila sokwe ipo kwa nchi nyingi tu na haipo Tanzania kwa wingi vile. Zipo sana DRC, Uganda, Rwanda, Congo, Cameroon, Burundi na Gabon. Tanzania ni kidogo tu na hata kenya zipo kwa conservatives. Nenda mahali panaitwa Kenya Sweetwaters Sanctuary utawaona.
 
Ile siku nilisikia pesa ya Mo inagawanywa kwa Watz wote ndiyo unapata per Capita hapo hapo nikaachana na habari za per Capita income.
Hahaha. The best 007 Nimecheka kweli.
Simon gdp per capita ina mapungufu yake na uliyoyataja ni moja ya mapungufu yake lakini bado ina umuhimu wake kwenye kuanalyse data.
 
Back
Top Bottom