Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe kenya mnatengeneza marcopolo , Andare , youtong , Zhong tong . Bwana mapesa kweli kenya nyingi matajiri
Kwa issue ya mabasi lazima tu mtakubali mabasi zenu zinatoka Kenya😂😂😂

Hizi ni kampuni zinatoa mabasi zao Mombasa Kenya 😂😂

1651440106519 .jpg


1651407052595.jpg


1651580091799 .jpg
 
Tatizo linaanzia kwenye msingi, upimaji wa viwango siyo jambo kuu sana katika tasnia hiyo, sidhani hata kama wanajali utofauti wa quantitative na qualitative data. kwa mfano ukimuuliza Tony254 kama GDP ina unit au ni dimensionless, ataanza kubung'a.
GDP unit yake ni $.
 
Back
Top Bottom