Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiondoa Zimbabwea yenye special cases na yenye inflation kubwa kupita Nchi zingine zote Africa,the rest maishayao ni bora zaidi kushinda Nchi zetu za EAC..

Kwa hiyo hicho kipimo ni sahihi kwa sababu ndio basic na hata uki offset na other parameters kama HDI bado wako vizuri.
Lkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)

Naelewa kuwa per capita ni GDP per population.. lkn kusema per capita ni unafuu/utajir/uchumi wa mwananch mmoja mmoja ni kujidanganya..haina uhalisia
 
Yeah ..so it comes back to the case of controlling population or matching economic growth to popn ambayo ni ngumu zaidi..

At least hyo ni PPP tho

Ninacho taka Tz ifanye ni ikue to 100bil usd bila kutegemea Effect za LNG plant kwenye uchumi..

Kuna sector ndogo ndogo tukiziweka sawa tunapaa bila kutegemea Sector kama mining .ingawa haichangii hata 10%ya gdp bado

1.Tuongeze Irrigation Schemes na agro processing industries..na Exporting ya mazaona agri products .. Agri contributes to 30% ya GDP ..hii ndo kitu cha kukazia sana

2.Tuna imrpove electricity supply which is crucial for economic growth ..Electricity services zinachangia ukuaji wa uchumi sana ndo maana SA imepata shida recently
Na hii ndio serikali inafanya sasa badala ya kushikwa akili na mamiradi makubwa ya kutafutia sifa huku yanahafibu livelihood ya wananchi at the end yanakuwa liability.👇

Screenshot_20220502-124120.png

Screenshot_20220502-124055.png
 
Lkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)

Naelewa kuwa per capita ni GDP per population.. lkn kusema per capita ni unafuu/utajir/uchumi wa mwananch mmoja mmoja ni kujidanganya..haina uhalisia
Na inflation yao yote Zimbabwe hawapo pabaya kama watu wanvyofikiria. Mwananchi wa kawaida ana nafuu Zimbabwe sana. Huu mtaa wa Makokoba ni mtaa wa kawaida pale Bulawayo ila ukiulinganisha na mitaa ya kawaida East Africa naona una nafuu.

Ndo maana kuna indicator nying kwenye kujua uchumi husika
GDP
Gdp per Capita
Gdp PPP
HDI

But so far HDI ndo iko vizuri and its a right time kupata data za HDI mpya ..i believe Tz imepaa..why

1.Since 2019 Free education is going on well
2.Our life expectancy has increased
3.Tumeongeza Health care delivery
4.Tumeongeza Acess to clean water

But i l be waiitng kuona the next HDI Data
Life expectancy nayo imeongezeka pia
 
Grevys Zebra ama imperial zebra kwa Kiswahili anaitwa Punda milia wa Kifalme. Una swali lingine? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mimi nazungumzia hao wanyama uliowaweka hapo na majina yao Jacksons Francolins, Rothchilds giraffe na duiker kama wanapatikana Kenya tuu iweje wawe na majina ya kizungu.
 
Propaganda..... Ni vile Tanzania wameridhika Na umaskini wao they never complain. Kenyans complain alot till it made Tanzanians think they okay... But the bitter fact is we better... The only thing you better and I agree is your food basket is more stable than ours the rest you just massaging your ego
Tanzania ndio only country in East Africa ambayo unaweza kulala maskini na kuamka tajiri mineral wealth wananchi wameshirikishwa through artisanal mining, ardhi mpaka leo iko cheap and available to all, arable land iko ya kutosha, better health services, free education, life expectancy iko juu. That is what we call development. Development without human development sio development at all.
 
Mimi nazungumzia hao wanyama uliowaweka hapo na majina yao Jacksons Francolins, Rothchilds giraffe na duiker kama wanapatikana Kenya tuu iweje wawe na majina ya kizungu.
Hivi vile Simba ana jina la kizungu lion inamaanisha anapatikana England ama unajaribu kusema nini? Ama vile Dar es Salaam ina jina la kiarabu inamaanisha inapatikana uarabuni?🤣🤣
 
Tanzania ndio only country in East Africa ambayo unaweza kulala maskini na kuamka tajiri mineral wealth wananchi wameshirikishwa through artisanal mining, ardhi mpaka leo iko cheap and available to all, arable land iko ya kutosha, better health services, free education, life expectancy iko juu. That is what we call development. Development without human development sio development at all.
Yani bahati nasibu ndio unaringa nayo hapa?🤣🤣
 
Back
Top Bottom