Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndugu nikupe siri, Uganda haitawahi kuunganisa SGR yao na yenu. Wacha kuota tafadhali.
Lazima Uganda waunganishe reli yao kwenye modern system hata ingekuwa wewe usingeweka hela kwenye outdated system. Pili reli inayoenda Congo Burundi na Rwanda inapita a few km from Ugandan border hivyo itakuwa rahisi kwa Uganda ku access masoko hayo via rail link ya Tanzania besides it will take only less than 12 hours for the goods to be delivered to Kampala from Dar port.
 
Highway hua na footbridge wacha ushamba. Road shoulder sio sidewalks. Jifunze hizo kwa leo.
Wewe ni mpumbavu wa wapi? Design kama hiyo hukuti Kunyaland! ila "hukuanga" first world!

images
 
Kota za jeshi ambazo mnatamani lakini uwezo wenu mdogo haiwaruhusu muwe nazo. Uwezo wenu ni uswazi kaka so tuliza kende
Mbona tunazo nyingi tu wewe unajua majeshi yetu yanaishi wapi ? Hizo kota tunazo nyingi tena nyingi sana
 
How will you know when blind patriotism rules your mind?
Even those UN bodies which ranked Tanzania highly and Kenya poorly on political stability are blind?. The problem of people are thought Tribalism within their families by day one after their birth days is to think all other people behave like them

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
i believe tht our southern brethren, now believe tht kenya has the best roads in africa, only second to SA, and without any potholes all along through the journey eversince from nairobi, about 150km now!.. all these brought about by mwai chibaki himself..

msafara wake shahidi tosha..
KARATINAView attachment 2205838
nb: hehehe i can vividly recall, msafara wa magaful hadi chato, hio safari ilianika tanganyika wazi kabisa, hivi tuliona tz yote hadi chumba cha ndani, mpaka sehem nyeti... hio vumbi nayo.! aafu hio kicheko nayo.!?

 
Pesa ya tarmack iliisha kwani? 🤣 🤣 🤣 Yani airport ikona markings kwa runway pekee. Boarding bridge ziko crowded kama soko za kariakoo, hapo dreamliner zinaweza toshea tatu pekee kwa mpigo.

"Ulizanga" hapa kwanza!
DSC02609_zps41ac93d2.jpg
 
Unataja Kabila kwa nini? Huyo muda wake ulikwisha zamani. Tangu Tshisekedi aingie madarakani, DR Congo imekuwa inajishughulisha na Kenya kuenda mbele.
Inaelekea hujui siasa za Congo. Chama cha Kabila ndio cheye nguvu kubwa ya ksiasa nchini Congo huyo Tshekedi amewekwa tuu kuepusha hali ya sintofahamu iliyokuwepo baada ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom