Hiyo sio sababu kuu sababu kuu ilikuwa ni mgawanyo wa mapato kenya alitaka share kubwa akiwa supported na mkoloni the rest felt shortchanged hivyo kuleta msuguano kwenye mahusiano.EAC ilivunjika kwa sababu ya migogoro na vita kati ya Tanzania na Uganda. Tanzania ndio ilishindwa kuelewana na Uganda.