Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii inaitwa TKO 😂 😂
Eti jirani ambaye hakutembelei! Alafu walivyo vilaza bado wanawashobokea?
Soma hii

Screenshot_20220430-123614.png


Screenshot_20220430-123822.png
 
i believe tht our southern brethren, now believe tht kenya has the best roads in africa, only second to SA, and without any potholes all along through the journey eversince from nairobi, about 150km now!.. all these brought about by mwai chibaki himself..

msafara wake shahidi tosha..
KARATINA👇🏽View attachment 2205838
nb: hehehe😆 i can vividly recall, msafara wa magaful hadi chato, hio safari ilianika tanganyika wazi kabisa, hivi tuliona tz yote hadi chumba cha ndani, mpaka sehem nyeti... hio vumbi nayo.! aafu hio kicheko nayo.!?😆😆
Video za misafara yote ya, mazishi ya JPM ipo YouTube milele, sema ni wapi kulikua na barabara ya vumbi? Tena FYI ndio kipindi wakenya wenzio walivyojiona wapo hovyo, walikua wamejaa kwenye live chat YouTube wamesahau msiba wanaanza kusifia Tanzania kama ulaya
 
Mara nyingi huwa ninasema ninyi wakenya huwa mnajazana ujinga na mnazidi kuwa wajinga, vyombo vyenu vya habari na viongozi wenu huwa wanazusha Mambo, na ninyi bila kufikiria kwa undani huwa mnaamnini hivyo hiyo Kama kondoo.

Weka ushahidi kwamba chanzo ni kugawana mapato kutoka katika "credible sources"

Huyu hapa Nyerere, ambaye ndiye muasisi wa EAC anasemwa chanzo ni Idd Amin,
Punguzeni ujinga wenu wa kujifanya wajuaji wa kila kitu.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Hivi wewe mzee ubongo umeanza kuchoka au nini? Hujui kwamba coodip1 ni Mtanzania mwenzako?
 
Video za misafara yote ya, mazishi ya JPM ipo YouTube milele, sema ni wapi kulikua na barabara ya vumbi? Tena FYI ndio kipindi wakenya wenzio walivyojiona wapo hovyo, walikua wamejaa kwenye live chat YouTube wamesahau msiba wanaanza kusifia Tanzania kama ulaya
aa.. wapi.!?
 
Barabara ya upumbavu hata mataa hakuna
View attachment 2205862
Hii barabara bado inajengwa bro hizi overpass ni nyingi zinajengwa tunavyoongea now, mataa, traffic lights, BRT lanes katikati hapo na hizo feeder roads and all that, hata design ya barabara pia Iko powa ni kama duniani tu nchi zilizoendea 👇.. Ila ushamba unawatesa..
aerial-view-commercial-area-with-roundabout-weiensteinstrae-at-the-a3-feeder-road-to-logport-v...jpg

Halafu Dar kuna footbridges chache sana. Kama umenotice. Ushamba mwingi tu.
Footbridges nyingi nyingi zinakuja..

Anaway kesho nitapitia uko I'll take them photos for you
 
Hii barabara bado inajengwa bro hizi overpass ni nyingi zinajengwa tunavyoongea now, mataa, traffic lights, BRT lanes katikati hapo na hizo feeder roads and all that, hata design ya barabara pia Iko powa ni kama duniani tu nchi zilizoendea 👇.. Ila ushamba unawatesa.. View attachment 2206021

Footbridges nyingi nyingi zinakuja..

Anaway kesho nitapitia uko I'll take them photos for you
Hawajawahi ona sidewalks kwa interchange!
 
somewhere doing our side hustle job.. engineering maintenance services

unaweza kuzoom na kuona jengo la PSSSF (ofisi zetu zilipo)
View attachment 2205945
View attachment 2205946

zoom na kuona uwanja wa taifa (patakapochezwa mechi ya Simba na Yanga leo )
View attachment 2205949


...
on top
View attachment 2205950
View attachment 2205951
View attachment 2205952
hii nayo ni kali sana mzee💥.. so mtindo ni ule ule wa rupurupu, yani kugusa mshahara hapana, inabaki tu palepale kwenye benki milele.. hehe., karibu sana kwenye hili jukwaa masera..😆😆

c/c The best 007

Screenshot_20220119-105735_Photos.jpg
 
Back
Top Bottom