Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,154
- 29,771
ata usi waste tyme na hiki kimwehu. hapa ni kwao tanganyika. kweli nyani haoni kundule
Tandale, hatuna huo ujinga serikali za mitaa zinasimamia kila mtaa labda tz ya miaka ya 90
ata usi waste tyme na hiki kimwehu. hapa ni kwao tanganyika. kweli nyani haoni kundule
Tandale, hatuna huo ujinga serikali za mitaa zinasimamia kila mtaa labda tz ya miaka ya 90
😀😀😀😀😀Mtoa post huko facebook ni ndugu yenu wa damu kabisaaaa (Mluhyaaaa)Hili barabara bado halijafunguliwa. Wazimu wewe.
Mbulu kengeeee weweeee, hiyo gari hapo juuu inakojoa????Hiyo barabara haijafunguliwa rasmi sasa sijui mwasho wenu ni wa nini! Secondly, motorists will be required to pay only 360/- at most. How is that a preserve for the rich? Jengeni yenu malazy
just simple question....... hapa ni wapi.!? 👇🏽👇🏽 ni tz ama ke.??nugu
Ubaya ni kwamba unapiga kelele ukiwa Tandale wakati mimi nipo Nairobi. Tumia akili zuzu wewe. Hapo hata gari ya Rais Uhuru imewahifika wakati akifanya ukaguzi wa ujenzi kama Rais.Mbulu kengeeee weweeee, hiyo gari hapo juuu inakojoa????
Who remembers this comment?🤣🤣Nairobi 88 iko wapi???😆😆😆
River estate iko wapi???😆😆😆
Ngong road iko wapi???😆😆😆😆
Nairobi Expressway iko wapi?😆😆😆😆
Endelea kutuonesha renders plz👏👏👏
wacha upumbavu umesema Nairobi haina palm trees i have shown u several! and when they r matured, u will have coconuts!Wapi matunda hapo? Nionyeshe mti ikona coconut Nairobi?
Me sijawai ona mti ikona coconut Nairobi and those palm tress have been there for years, kwani zita mature after 100 years. 🤣 🤣 🤣wacha upumbavu umesema Nairobi haina palm trees i have shown u several! and when they r matured, u will have coconuts!
Mnashindana na marehemu kwa nini ? Kwa sababu hawezi kujitetea? nitakuapo hapa kwa 'ajili yake.Umetulia sasa? Umewacha matusi? Asubuhi ulikuwa unalia na kutoa machozi sana.
Kota za jeshi ambazo mnatamani lakini uwezo wenu mdogo haiwaruhusu muwe nazo. Uwezo wenu ni uswazi kaka so tuliza kendeHizo ni kama kota za jeshi
Palm trees za Nairobi zimepandwa to beautify our streets, they don't grow naturally like they do in Dar or MombasaWapi matunda hapo? Nionyeshe mti ikona coconut Nairobi?
Wanatushobokea mno aiseee.Wakunya wanafikiri ni national holiday, nawaona mnafurahi utafikiri kipofu kaona mwezi
View attachment 2204741
Dar huwezi kuta mapori CBD.Dar still has a long way to go View attachment 2204743
ichoboy01 how you like these renders 😂😂😂Who remembers this comment?🤣🤣
Today I have the time to answer you.
88 Nairobi
River Estate
Ngong' Road
View attachment 2205108
View attachment 2205114
Of course tunajua hamjui kitu kinaitwa green spaces. Mnatamani sana lakini ndio hivyo basi. These were taken today bongolalaDar huwezi kuta mapori CBD.