Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Waganda wanasubiri kwa hamu kubwa SGR ifike mwanza 😀😀
Ndugu nikupe siri, Uganda haitawahi kuunganisa SGR yao na yenu. Wacha kuota tafadhali.
Waganda wanasubiri kwa hamu kubwa SGR ifike mwanza 😀😀
Wapi nimesema uganda wataunganisha reli yao,angalia hiyo clip uelewe basi na si mihemko yakoNdugu nikupe siri, Uganda haitawahi kuunganisa SGR yao na yenu. Wacha kuota tafadhali.
Uhuru amefanya big things for DR Congo since Tshisekedi came to Office. Tshisekedi's first trip in office was to Kenya.Seems Uhuru's effort will work out after all
View attachment 2205563
Nyeri has better roads than most parts of Dar is slumKule ambako ndio lami inajengwa pana hali gani?
Sasa Tanganyika ya ujamaa ni nchi ya kuiga kwa lolote!? Sema exposure yako ndio iko chini bongolala. You think life revolves around Tanganyika alone. This is a tradition that happens in many countries around the world. Nelson Mandela was treated the same way by South Africans when he died. Sasa na wao pia mliwaiga?
Ni wenzenu ndio wameanza mabishano za kijingaNa mambo ya kufa nayo mnabishania?
hahahaha, hahahaha, hahahahaWewe mzee uliyestaafu nani alikufundisha kutumia twitter? Aliyekufundisha kutumia twitter alikosea sana. Sasa hatutapumua huku? Angekuwacha uendelee kutumia JF pekee. Halafu aliyekufundisha kutumia hio smart phone ya Uchina Itel L5007 alikosea sana.