Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi mwenyekiti wa EAC kwasasa ni nani?, hebu jaribu kufuatilia kipindi cha Joseph Kabila (DRC haijajiunga na EAC), mara ngapi alitembelea Kenya na mara ngapi alitembelea Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unataja Kabila kwa nini? Huyo muda wake ulikwisha zamani. Tangu Tshisekedi aingie madarakani, DR Congo imekuwa inajishughulisha na Kenya kuenda mbele.
 
Sasa Tanganyika ya ujamaa ni nchi ya kuiga kwa lolote!? Sema exposure yako ndio iko chini bongolala. You think life revolves around Tanganyika alone. This is a tradition that happens in many countries around the world. Nelson Mandela was treated the same way by South Africans when he died. Sasa na wao pia mliwaiga?
View attachment 2205604View attachment 2205605View attachment 2205606
Hii kasumba ya inferiority complex sijui itawatoka lini!
Yes,:
1)Peace
2)Unity
3)Upendo
4)Political stability
5)No Tribalism

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unataja Kabila kwa nini? Huyo muda wake ulikwisha zamani. Tangu Tshisekedi aingie madarakani, DR Congo imekuwa inajishughulisha na Kenya kuenda mbele.
Kwasababu ndio kipindi ambacho DRC inajiunga na EAC, lazima Tchisekedi awe karibu na mwenyekiti wa EAC.

Enzi za Kabila, DRC ilikua "very neutral", haikuwa mwanachama wa EAC, kwahiyo rais wa DRC alitembelea zaidi nchi yenye ukaribu na maslahi na nchi yake(Tanzania).

Kenya ikimaliza kipindi chake cha " chairmanship", sidhani Kama atakanyaga tena hapo Kenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
download%20(1).jpeg
 
Unataja Kabila kwa nini? Huyo muda wake ulikwisha zamani. Tangu Tshisekedi aingie madarakani, DR Congo imekuwa inajishughulisha na Kenya kuenda mbele.
Yaani Kenya inatutambia DRC? 😂😂😂 Our immediate neighbor? Wewe akili mbili kweli ni sawa na Tanzania kuitambia kunyaland Sudan, wacongo wapo kariakoo in thousands wanafunga mizigo kuelekea kwao in daily basis
 
Malazy wanachukia Kenya lakini nchi hizi mbili zimekuwa pamoja kuanzia zamani.
1651299696150.png

1651299728357.png
 
Yaani Kenya inatutambia DRC? 😂😂😂 Our immediate neighbor? Wewe akili mbili kweli ni sawa na Tanzania kuitambia kunyaland Sudan, wacongo wapo kariakoo in thousands wanafunga mizigo kuelekea kwao in daily basis
Bado hatujawapita kwenye mahusiano na Congo ila tutakuja kuwapita soon.
 
Hakuna kitu kinaudhi kama malazy kufikiria kwamba kila kitu kinachofanyika Kenya kimeigwa kutokwa kwao. Tabia ya kipuuzi sana.
 
Yaani Kenya inatutambia DRC? 😂😂😂 Our immediate neighbor? Wewe akili mbili kweli ni sawa na Tanzania kuitambia kunyaland Sudan, wacongo wapo kariakoo in thousands wanafunga mizigo kuelekea kwao in daily basis

Kinshasa - DRC's busiest airport has its busiest route to Lubumbashi, its 2nd largest city. There are 5 international routes Nairobi at #3, Addis at #4, Brazzaville at #8, Brussels at #9 & Kigali at #10.
Image

Jirani ambaye hakutembelei, mbona Dar haiko hapo kwa top routes? Wabongo munapenda kuforce issues.
 
Na wewe ukafuata mkumbo.
Come on Kibaki ameenda, Magufuli alienda Moi alienda, Mkapa alienda na wengine wataenda
Nimefuata mkumbo gani? Mimi na wenzetu tumekuwa tukiweka hizi picha hapa tangu jana. Wenzenu wakaanza mabishano eti tumewaiga
 
Back
Top Bottom