eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
just simple question....... hapa ni wapi.!? 👇🏽👇🏽 ni tz ama ke.??View attachment 2205064View attachment 2205065
Hii ni ya mwaka gani?
just simple question....... hapa ni wapi.!? 👇🏽👇🏽 ni tz ama ke.??View attachment 2205064View attachment 2205065
Hili eneo linafaa sana kutengenezea movie inayohusu Umaskini..Yote haya umetaka wewe, nilikuuliza kwanini mnaishi kwenye bati hivi? Full suit
View attachment 2204792
Watu wa pesa za ndani your presence is needed here
Hehehe comments Sasa ndio zimeua kabisa😂🤣😂
View attachment 2205237
View attachment 2205238
Kule ambako ndio lami inajengwa pana hali gani?How it went down on different streets of Nairobi today View attachment 2205227View attachment 2205228View attachment 2205230View attachment 2205232View attachment 2205233View attachment 2205234View attachment 2205235View attachment 2205236
Kipande Cha pili ni 541km? You have to ask yourself that. Again they have said that they won two tenders one was with Standard Chartered and the other one is not mentioned. I guess hiyo ingine ni phase 1🤣😂😂Mnajua maana ya finance guarantees? Kipande cha pili inajulikana wazi kina pesa za mikopo na mkopo ina taratibu zake lazima kuwe na guarantors kama mikopo ya kawaida, Danish export credit agency won the award sababu sio msaada, it's business.
Hahaha ninyi watu mnaiga sana halafu hampatiiHow it went down on different streets of Nairobi today View attachment 2205227View attachment 2205228View attachment 2205230View attachment 2205232View attachment 2205233View attachment 2205234View attachment 2205235View attachment 2205236
huyo ana jambo lake kweliIla Putin bana.. huyu jamaa ana jambo lake.
Wewe hua mjinga sana. 🤣 🤣 🤣 Nyerere ni nani by the way?
And how is kichinjio supposed to be a bad thing? If a cinema is built in your village are the people not supposed to be happy because one has to pay to see a movie????
Ndio akaamua utafute na kick kabisa kwenye msiba wa kibakiRais wa South Africa Cyril Ramaphosa amewasili Kenya kwa ajili ya mazishi ya former president Kibaki. Halafu mang'ombe wanasema kwamba Kibaki hajulikani na Kenya haiheshimiki Afrika.
Hii treni ya umeme inaonekana inawauma sana hawa nyang'au.Mnajua maana ya finance guarantees? Kipande cha pili inajulikana wazi kina pesa za mikopo na mkopo ina taratibu zake lazima kuwe na guarantors kama mikopo ya kawaida, Danish export credit agency won the award sababu sio msaada, it's business.