babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,307
- 35,736
Anayeshobokea mwenzie ni nani kati ya Ke na Tz? Sisi tulitangaza national day of mourning kwa sababu Magufuli alikuwa rais madarakani alipofariki. Nyie nanyi kwa kutuheshimu sana mnadeclrare maombolezi kwa jamaa ambaye sio rais, yaani ameshastaafu. Sasa nani anamshobokea mwenzie?