Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unalia lia nini Simon? Sasa ulikuwa unataka uchumi wenu ubounce back vipi na yule Mungu wenu alikataa kufunga uchumi wenu wakati kila nchi ukanda huu ulifunga uchumi wao? Hivi unajua mwaka wa 2020 uchumi wa Kenya ulishrink by -0.3% wakati uchumi wenu ulikuwa by >4%? Hio 2020 hapa Kenya mashule yalikuwa yamefungwa, biashara nyingi na viwanda vingi vilifungwa na watu kupoteza kazi. Tourism sector ilikufa mwaka huo wote na 90% ya watu kwenye sector hio walipoteza kazi wakati tourism sector yenu ilikuwa inapokea watalii kutoka Russia na Ukraine. Au unadhani sikumbuki mkisherehekea hapa kupokea watalii wengi kutoka Russia na Ukraine? Uganda, Kenya na Rwanda zilifunga uchumi zao na mwaka wa 2021 na 2022 ndio nchi hizi zinafungua uchumi zao na ndio maana unaona zinabounce back, sector ya utalii imeanza kubounce back, viwanda vimeanza kubounce back, mashule yanafunguliwa. Sasa uchumi wenu ulikuwa unataka ubounce back vipi na hamkuwa mumeufunga? Akili kichwani rafiki yangu.
Huyo sio kwamba haelewi bali ana chuki binafsi na Samia.

Mwambie achukue average growth ya Nchi zikizofunga uchumi kwa miaka 2 au 3 na average growth ya Tanzania kwa miaka 2 au 3 uone nani anakupa rate nzuri

eg Kenya (-3+5.7/2)=1.35,,Tzn (4+4.8/2)=4.4
 
Huyu ajuza ni mwongo sana mbona wengine tunajua ukweli kuwa serikali ya tz imetumia mamilioni ya dola hadi sasa
Pia utalii gani utaukuja kwenye nchi isiyo salama sasa hivi panya road wamerudi vibaka majuzi kuna watalii wameibia mataili ya magari yao , pia ajali zimeongezeka za mabasi hivyo imekua siyo salama tena kutumia usafiri kufanya utalii wa mabasi , miezi kama miwili kuna watalii kama 6 wamekufa kwenye ajali za barabarani , na kipidupindu kinakwenda kurudi tena tz ,
 
Wakenya mtafika mbinguni mmechoka sana, tutaandaa glucose kwa ajili ya Wakenya tu. Akina Teargas and the company mkifika tu mlambe glucose View attachment 2204130
Hiyo barabara haijafunguliwa rasmi sasa sijui mwasho wenu ni wa nini! Secondly, motorists will be required to pay only 360/- at most. How is that a preserve for the rich? Jengeni yenu malazy
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataona kwamba Kenya ndio ina nafuu kidogo kwa sababu hatuna dollar billionaire ila tuna dollar millionaires wengi, zaidi ya mara tatu kuwashinda. Nyie mna dollar millionaires wachache sana ila mna dollar billionaires wawili. Uchumi wenu umeoza, watu wawili wanamiliki karibu kila kitu ndani ya private sector yenu. Hao Waarabu wawili ukichanganya na ile familia ya Bakhresa ndio familia tatu za kiarabu ambazo zinamiliki asilimia kubwa ya uchumi wenu. Watu wengine wote ni masikini wa kutupwa. Hao Waarabu wataendelea kuwa matajiri zaidi kwa maana naona mama anazunguka nao kila mahali akiwatafutia contracts za kujenga viwanda ili waendelee kupiga pesa ndefu ila weusi wa Watanzania kazi ni kukaa juu ya mawe na kupiga soga. Angalau weusi wa Kenya wako aggresive akina James Mwangi wanatafuta contracts DR Congo na kote kote ukanda huu.
Unaongea nini ww ikiw aliye kuwa tajiri mkubwa mweusi Tz alikuw na nusu billion usd? Wakati wenu alikuw na 200m usd, hakuna kujitetea hapa hata sisi tulikuw na dollar millionaire wengi kuliko nyie wote , so namba za millionaires zinapanda na kushuka ila kitu kinachoitwa dollar billionaire mtakisikia tuu, hasa wazungu wakendelea kuwaibia uku mnabung'aaa
 
Alafu sikunyingine uwache kuongea pumba, Tz ndio nchi yenye inclusive economy kubwa Afrika...katafte watot wakuwadanganya, ukizidiwa kubali sio porojo
 
Hiyo ripoti imekuuma sana bongolala?
We have 3,600 more dollar millionaires than your shithole country and there's nothing you gon do about it
Kindly, dont drug us to your poor level, marehem Mengi angekuja uko kwa fukara ndio angekuwa tajiri wakwanza kunya land
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataona kwamba Kenya ndio ina nafuu kidogo kwa sababu hatuna dollar billionaire ila tuna dollar millionaires wengi, zaidi ya mara tatu kuwashinda. Nyie mna dollar millionaires wachache sana ila mna dollar billionaires wawili. Uchumi wenu umeoza, watu wawili wanamiliki karibu kila kitu ndani ya private sector yenu. Hao Waarabu wawili ukichanganya na ile familia ya Bakhresa ndio familia tatu za kiarabu ambazo zinamiliki asilimia kubwa ya uchumi wenu. Watu wengine wote ni masikini wa kutupwa. Hao Waarabu wataendelea kuwa matajiri zaidi kwa maana naona mama anazunguka nao kila mahali akiwatafutia contracts za kujenga viwanda ili waendelee kupiga pesa ndefu ila weusi wa Watanzania kazi ni kukaa juu ya mawe na kupiga soga. Angalau weusi wa Kenya wako aggresive akina James Mwangi wanatafuta contracts DR Congo na kote kote ukanda huu.
Nugu ni nugu
20220429_053416.jpg
1295_.jpg
 
Attachments

  • 1252_Another-beautiful-view-of-the-Tanzanite-Bridge-inn.mp4
    13.9 MB
  • 1251_PSSSF-Tower-near-Mawasiliano-Tower-Dar-Es-Salaam.mp4
    5.3 MB
  • 1249_273461602-490269672646285-6931338077581614949-n-mp.mp4
    2.2 MB
Rais wa South Africa Cyril Ramaphosa amewasili Kenya kwa ajili ya mazishi ya former president Kibaki. Halafu mang'ombe wanasema kwamba Kibaki hajulikani na Kenya haiheshimiki Afrika.
 
Kindly, dont drug us to your poor level, marehem Mengi angekuja uko kwa fukara ndio angekuwa tajiri wakwanza kunya land
Hasira zako peleka Tandale ama ikiwezekana peleka malalamishi kwa waliotoa hiyo ripoti
 
Unaongea nini ww ikiw aliye kuwa tajiri mkubwa mweusi Tz alikuw na nusu billion usd? Wakati wenu alikuw na 200m usd, hakuna kujitetea hapa hata sisi tulikuw na dollar millionaire wengi kuliko nyie wote , so namba za millionaires zinapanda na kushuka ila kitu kinachoitwa dollar billionaire mtakisikia tuu, hasa wazungu wakendelea kuwaibia uku mnabung'aaa
Nakumbuka jinsi Kirubi alikuwa anasujudiwa na mapunga ya Kikunya humu ndani!
 
Rais wa South Africa Cyril Ramaphosa amewasili Kenya kwa ajili ya mazishi ya former president Kibaki. Halafu mang'ombe wanasema kwamba Kibaki hajulikani na Kenya haiheshimiki Afrika.
Majirani ndivyo walivyo.
 
Nakumbuka jinsi Kirubi alikuwa anasujudiwa na mapunga ya Kikunya humu ndani!
Kirubi wasn't and has never been the richest person in Kenya bongolala. Mbona hiyo ripoti ya wealth imewatia tumbo joto hivi?
 
Kindly, dont drug us to your poor level, marehem Mengi angekuja uko kwa fukara ndio angekuwa tajiri wakwanza kunya land
And please, don't talk about the dead. At the time of his death, Nicholas Biwott had way more than what Mengi had
 
Kwamba hapo sio Geita airport!
Kwamba ndege za air Tanzania hazitui Geita airport.
Yaani umeshindwa kuingia website ya air Tanzania na kujaribu kuangalia ratiba!

Wewe ni zero kama hizo zero kwenye ID yako.

Diversion as usual.
Wapi passenger numbers.
Tunajua nchi ya propaganda ya bongolala. Picha ilipigwa ile siku moja government officials walienda kutembezwa huko.

My gut tells me not more than 2000 passengers pass through that shoddy airport every year.
 
Hii inatoa muhstasari wa nchi ya Kenya, wananchi vs wenyenchi.
I always consider you as one of the most sober minds in here from Tanzania but you've dissapointed me. That expressway is not yet open for motorists sasa sijui point yenu ni nini haswa. Secondly, how is a toll fee of Ksh 360 meant for the rich? Yani an average Kenyan who owns a car and fuels it every single day can't afford to pay Ksh360? You are taking this jealousy way too far. Jengeni expressway yenu muache kupigia za wengine kelele like your lives depend on it
 
Back
Top Bottom