xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
View attachment 2204921
Pathetic little village
View attachment 2204921
Pathetic little village
Nipo korogocho mtu wangu 😂😂😂
Ona hizo mataa zote kwa hizi picha, Dar munaishi kwa giza in 2022. Jua ikizama munaenda kulala kama kuku ju hamna stima. 🤣 🤣 🤣Nipo korogocho mtu wangu 😂😂😂
View attachment 2204946
View attachment 2204947
View attachment 2204948
View attachment 2204949
View attachment 2204950
Tafadhali leta picha za hio area kwa google street view tuone 😅
Leta prove hapo ni Nairobi? Unajua Dar tunaijua vizuri na hizo palm trees. Wacha kutuletea picha za Dar unasema ni Nairobi.Nairobis sanitation and wastewater department at work 🤣
View attachment 2204955
View attachment 2204956
hapa ni Nairobi! Mnamwaga urojo mtoni!Leta prove hapo ni Nairobi? Unajua Dar tunaijua vizuri na hizo palm trees. Wacha kutuletea picha za Dar unasema ni Nairobi.
![]()
Ushaiona palm trees Nairobi? Nyinyi mtakana hadi mama zenu.hapa ni Nairobi! Mnamwaga urojo mtoni!
Hao 1M Tanzania ni wengi sema kwa mfumo wetu hawako documented ni zaidi 40000Hiyo $1.5B ya MO inafunikwa na millionaires watatu kutoka Kenya with more than $500M and above.
Ukiangalia hizi tables utaona wealth distribution between Tanzania and Kenya
$1B+
Kenya = 0
Tanzania = 1
$100M+
Kenya = 15
Tz = 8
$10M+
Kenya = 340
Tz = 80
$1M+
Kenya = 8,500
Tz = 2,400.
$100k+
Kenya = 412,095
Tz = 55,488
View attachment 2204547
View attachment 2204554
View attachment 2204555
Uliwahesabu ukapata wako zaidi ya 40,000?Hao 1M Tanzania ni wengi sema kwa mfumo wetu hawako documented ni zaidi 40000
Umetulia sasa? Umewacha matusi? Asubuhi ulikuwa unalia na kutoa machozi sana.Ila kwenda sauz had visa... 😎
Wapi matunda hapo? Nionyeshe mti ikona coconut Nairobi?Nairobi at large
![]()
![]()
Dar kama Dar
nuguLeta prove hapo ni Nairobi? Unajua Dar tunaijua vizuri na hizo palm trees. Wacha kutuletea picha za Dar unasema ni Nairobi.
![]()