Nadhani hujafuatilia trend ya ukuaji wa Uchumi,Toka wakati wa Corona forecast zilislow down.Sema wakati ule kulikua na kamba piaMy question to Tanzanians.. IMF hawahawa walikuwa wanatupa rate ya 6-7% kipindi cha Magu, nakumbuka tulikuwa pamoja kirate na nchi ya Rwanda..what happened saiz kipindi cha mama, rate ni below 5% while Rwanda continue keeping their rate of >6%
Life expectancy ya India ni 69yrs wakati ya Swis ni 84yrs, Child mortality rate ya India ni 30 per 1000 wakati Uswisi ni 3.6 per 1000.Hata ukiangalia katika jicho la "medical science" (Hello joto la jiwe), kwa idadi ya wa wahindi (1.35B) utaona gene pool yao as a species inauwezo mkubwa sana wa kusurvive. Kwa nini uwezo wa kusurvive kutokana na population usitumike kama kigezo cha kiuchumi?
Zipo sababu za kibiashara pia.Angalia kwenye page zao wanasemaje kuhusu hiyo location.Pia angalia wamechukua kuanzia floor ya 13 ambazo hua ni bei nafuu.Unless uwe huna knowledge ya bei za majengo marefu.wametoka derm house.. sector binafs.. afu Tigo saiz wapo chin ya Rostam.. kaamia kwenye majengo ya serikali (PSSSF).. connect the dot (mfanyabiashara mbongo na se
Mkuu sio kweli kwamba uchumi wa Kenya upo diversified Wala resilient, hayo ni maneno ya wakenya kupenda kujipa matumaini na kujipa moyo.Hata hiyo increase ya 0.8% ni kubwa kwa miezi aliyokaa na Mwaka huu tutafika 5%..
Kwa kesi ya Uchumi wa Kenya wao wako very diversified Sana so Wana resilient kubwa ila kwa Rwanda sifahamu nature ya uchumi wao ila kwa Tanzania nategemea mwaka huu zaidi maana mwaka uliopita ulikuwa wa kufukia mashimo.
Nadhani hujafuatilia trend ya ukuaji wa Uchumi,Toka wakati wa Corona forecast zilislow down.Sema wakati ule kulikua na kamba pia
.. after corona nchi nying zilibounce back largely.. yetu sasaZipo sababu za kibiashara pia.Angalia kwenye page zao wanasemaje kuhusu hiyo location.Pia angalia wamechukua kuanzia floor ya 13 ambazo hua ni bei nafuu.Unless uwe huna knowledge ya bei za majengo marefu.





1300-800=500 foolYani Dar imeshinda Mombasa with only 400 dollar millionaires while on there hand Nairobi imeshinda Dar na over 4000 dollar millionaires
View attachment 2204075
Hehehe Susan hasira ya nini sasa?1300-800=500 fool