Sasa unalia lia nini
Simon? Sasa ulikuwa unataka uchumi wenu ubounce back vipi na yule Mungu wenu alikataa kufunga uchumi wenu wakati kila nchi ukanda huu ulifunga uchumi wao? Hivi unajua mwaka wa 2020 uchumi wa Kenya ulishrink by -0.3% wakati uchumi wenu ulikuwa by >4%? Hio 2020 hapa Kenya mashule yalikuwa yamefungwa, biashara nyingi na viwanda vingi vilifungwa na watu kupoteza kazi. Tourism sector ilikufa mwaka huo wote na 90% ya watu kwenye sector hio walipoteza kazi wakati tourism sector yenu ilikuwa inapokea watalii kutoka Russia na Ukraine. Au unadhani sikumbuki mkisherehekea hapa kupokea watalii wengi kutoka Russia na Ukraine? Uganda, Kenya na Rwanda zilifunga uchumi zao na mwaka wa 2021 na 2022 ndio nchi hizi zinafungua uchumi zao na ndio maana unaona zinabounce back, sector ya utalii imeanza kubounce back, viwanda vimeanza kubounce back, mashule yanafunguliwa. Sasa uchumi wenu ulikuwa unataka ubounce back vipi na hamkuwa mumeufunga? Akili kichwani rafiki yangu.