Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Advantages of devolution. I heard some guy say Tanzania too has devolution 😂😂
Screenshot_20220427-182957-700.png
 
Wewe ni mpumbavu na mshamba Sana,kwa hiyo kipimo cha thamani ya Rais ni kuonana na Biden?

Bila shaka aliyekuwa na hamu ya kuonana na Samia ni Kamala kwa sababu mwenzie ni Rais na mkuu wa Nchi mwenye amri zote ila Kamala hana hiyo status..

Samia alienda US specifically kwa ajili ya Royal tour,kuonana na wafanyabiashara wa US,state visit aliyoalikwa na Kamala na kukutana na Wakuu wa IMF/ WB,hao wengine ndio waliomba kuonana na Rais kwa sababu zao kadha wa kadha na kwakuwa Rais wetu sio limbukeni na mnyanyua mabega akakubari kuwasikiliza...

Sasa yupi Bora Kati ya aliyekuwa anapiga simu clouds kwenye vipindi vya umbeya na Samia anaekutana na Watu muhimu kwenye sekta mbalimbali?

Matunda ya ziara ni haya hapa

View attachment 2198797

View attachment 2198798

View attachment 2198799

View attachment 2198800

View attachment 2198801

View attachment 2198802

View attachment 2198803

View attachment 2198804
sasa kama mme halali na mkewe we unategemea ,mke anaheshimika hapo?,

kwa kifupi ukiona hivyp mke hana value kwa mume wake case closed

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
He's too close,estimated net worth of $900m
Maana yake nini kwamba mna watu wawili ambao mmoja tayari ni dollar billionaire na mwingine amekaribia kuwa dollar billionaire ndani ya uchumi wa $71 billion ilhali Ivory coast ambayo ina uchumi almost sawia na yenu haina dollar billionaire. Ethiopia ambayo uchumi wake ni mkubwa kushinda wenu haina dollar billionaire. Kenya ambayo uchumi wake ni mkubwa kushinda wenu haina dollar billionaire. Iweje nyie na uchumi wenu mdogo muwe na dollar billionaire wawili? Hio inaonyesha wealth disparity kubwa ndani uchumi wenu. Mna uchumi mdogo lakini watu wawili tayari ni dollar billionaire hio ni ishara mbaya sana. Kwanza ukizingatia kwamba mna dollar millionaires wachache kushinda Kenya. Hao watu wawili ndio wanaomiliki property nyingi Tanzania. Halafu huwa mnasema Kenya inamilikiwa na watu wachache. Na nyie je mbona hamjiangalii?
 
Hiyo sizr yake Arusha Mwanza usiguse mzee
nimedaka ingine...!!, tofaut ya kiswahili cha kikenya na bongo...... eti

"Usiguze" kenya

vs

"Usiguse" bongo"

The best 007 na Sama boy 255 , heb msije mkanicheka tena, jua kiswahili inatofautiana kwa kiasi. so before u laugh, criticise and correct... please please do research first. who said tz ksw is always correct.!? kiswahili started at the kenyan coast afterall..
 
Huyu Rostam sio dollar billionaire. Nyie mna dollar billionaire mmoja tu kwa jina Mo.
Rostam ana biashara nyingi sana tz na nje ya nchi juzijuzi hapa kauza shares zake vodacom kachukua kama usd 460m na bado kanunua tigo na zantel huyu ni dollar billionaire hata mzee bhakresa ni dollar billionaire pia
 
Rostam ana biashara nyingi sana tz na nje ya nchi juzijuzi hapa kauza shares zake vodacom kachukua kama usd 460m na bado kanunua tigo na zantel huyu ni dollar billionaire hata mzee bhakresa ni dollar billionaire pia
Boss as long as Forbes haimtambui kama dollar billionaire wewe ni nani ulazimishe kwamba yeye ni dollar billionaire? Duniani kote kama Forbes haikutambui kama dollar billionaire basi wewe sio dollar billionaire. Usilazimishe mambo. Ila amekaribia kufika, maybe soon forbes itamtambua.
 
Back
Top Bottom