Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
By the way Jay Z, Kanye West na Rihanna wote ni dollar billionaires na walitangazwa na forbes kuwa dollar billionaires. Forbes isipokutangaza kuwa dollar billionaire basi hakuna anayekutambua kama dollar billionaire.Rostam ana biashara nyingi sana tz na nje ya nchi juzijuzi hapa kauza shares zake vodacom kachukua kama usd 460m na bado kanunua tigo na zantel huyu ni dollar billionaire hata mzee bhakresa ni dollar billionaire pia

