Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usipindishe ukweli mambo ya benki kenya wanatuzidi sana.
tuusan hawa wazembe watapingana na wewe ila ukweli ni kwamba kama kuna sector moja ambayo inafanya vizuri sana Kenya ni sector ya benki. Hii sector hata haina upinzani ukanda huu. Benki za Kenya ni kubwa sana kushinda za Tanzania kwenye kila metric tukianzia asset size, tukienda kwenye revenue au turnover, tukienda kwenye net profit tukienda kwenye dividend payout, na mambo mengi tu. Halafu haya ni mambo yanayoweza kuwa verified mtandaoni kwa sababu kisheria kila bank inashurutishwa kupublish its financial information kwenye magazeti au mitandaoni. Kwa hivyo hii sio information ambayo inafichika, hii ni information rahisi sana kupata mitandaoni na kufanya comparison kati ya benki za TZ na KE. Battle ya mabenki information yote ipo mitandaoni na ni rahisi kuipata ndio maana huwa hawapendi battle ya mabenki kwa maana wanajua evidence imejaa mitandaoni na tunaweza kuileta huku na kuwaaaibisha vibaya. Walete battle kwenye mambo mengine tu, wawachane na sector ya benki na sector ya ICT. Hizi sector mbili Tanzania bado mpo stone-age na sio matusi, naongea ukweli.
 
Hawa watu tunawapiga kwenye michezo zote. Utasikia wakisema eti wao ni wakali kwenye kandanda ila hata huko Harambee stars huwa inaipiga Taifa stars kama mbwa koko. So basically they are hopeless kwenye michezo. Sasa kwenye rugby hata hawana rugby team, hawa wanaume wa kukula chips mayai na kupiga konyagi unakuta mwanaume anafanana mwanamke atawezana na Rugby kweli? Riadha yaani athletics ndio hawawezi chochote. Netball na volley ball wapo zero.
Nyerere aliwaharibu hawa watu kwa kuwaletea mambo ya Ujamaa. Unajua ujamaa is all about sharing this, sharing that with your neighbour, no competition allowed. Unajua sports is all about competition ndio maana sports inawashinda.
Hua kwenye ili East Africa Military Games hua nawaonea huruma sana, Kenya hua inashinda karibia kila mchezo mpaka inasikitisha
 
kwa hiyo alienda kuonana na huyo mmama mwenzake pia na baba yake Rihana?

we kwaakili yako unadhani hatamani kuonana na biden?,

ishu kwamba raisi yeyote yule hata awe kwenye taifa maskini huwa hapaswi kuwa cheap na ndiyo wako hivyo wizara husika ipo hiyo kazi angriachia wizara husika yeye angeendelea na mambo mengine ya kitaifa,hapa duniani hakuna raisi yeyote yule anayeenda nchi za watu na kukaa wiki nzima hayo mambo yalikuwa enzii hizo za wakina nyerere na mandela tena ilikuwa ni kwasababu za msingi za kupigania uhuru,

mama yako wa kambo hana maajabu,na matokeo ya Raisi asiyejielewa ndiyo hayo ,Maraisi wenzake wanathamani ndiyo maana hata biden kaamua kumpotezea mama kamuona hana maajabu mama yako haeshimiki hata mualiko kutoka kwa president mwenzie hajapewa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpumbavu na mshamba Sana,kwa hiyo kipimo cha thamani ya Rais ni kuonana na Biden?

Bila shaka aliyekuwa na hamu ya kuonana na Samia ni Kamala kwa sababu mwenzie ni Rais na mkuu wa Nchi mwenye amri zote ila Kamala hana hiyo status..

Samia alienda US specifically kwa ajili ya Royal tour,kuonana na wafanyabiashara wa US,state visit aliyoalikwa na Kamala na kukutana na Wakuu wa IMF/ WB,hao wengine ndio waliomba kuonana na Rais kwa sababu zao kadha wa kadha na kwakuwa Rais wetu sio limbukeni na mnyanyua mabega akakubari kuwasikiliza...

Sasa yupi Bora Kati ya aliyekuwa anapiga simu clouds kwenye vipindi vya umbeya na Samia anaekutana na Watu muhimu kwenye sekta mbalimbali?😂😂😂😂

Matunda ya ziara ni haya hapa 👇

Screenshot_20220424-092827.png

Screenshot_20220424-080348.png

Screenshot_20220424-080412.png

Screenshot_20220424-075142.png

Screenshot_20220424-070902.png

Screenshot_20220424-070949.png

Screenshot_20220423-215201.png

Screenshot_20220424-133121.png
 
Katika majengo yote ya Kunyaland hili ndio jengo zuri mengine ni upumbavu tu wa kuiga majengo ya watu mwisho mnatoa uharo, be creative, I don't think if this again is the copy and paste uharos, am in love with this buildingView attachment 2198707
Before you talk remember Kenyans are the ones designing Tanzanian buildings. Alafu ebu niambie hii CBK, KICC na TT ni copies za buildings gani?

20220314_191239.jpg

20220305_201317.jpg
 
Hakuna nchi yenye GDP ya $77bn ikafanya mambo tunayofanya Tz, kuna infrastructures nyingi na zenye kutisha kwa gharama zipo Dar na huwezi kuzipata East and Central Africa ila hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar.
Ebu taja hizo infrastructures tuone kama itafanya GDP ya Tz ifike $150M
 
Dada hizi data zimekosewa .
Data nilizotoa ni za bank of Tanzania Hao WB na IMF wanatoa BOT

Tanzania kuna uwekezaji mkubwa wa gesi mabilioni ya dola
Nchi husika ni Netherlands, UK, USA , Norway, Singapore

Kuna uwekezaji wa mabilioni ya dola wa mining nchi husika ni UK, South Africa , Canada , Australia

Kenya iliingiza $42 mil halafu unasema ni nchi yenye uwekezaji mkubwa 😂😂😂😂 kuliko nchi za wazungu 😂😂😂😂😂 acha utani .
Kenya uwekezaji mkubwa ni kiwanda cha karatasi mgololo na mashamba ya chai

Kiwanda cha dangote cha saruji na mbolea uwekezajj wake utazidi $1 bil

Kenya ipo chini sana bado
Keep quiet cause we control your economy.

Screenshot_20220405-231733_1.jpg
 
By the way juzi niliona ile electric bus inaitwa Basigo imebeba abiria. Wao pia wanaunda assembly plant ya hizo electric busses Kenya.
At only 5 million plus it only takes 4 hours to full charge, with a range of 250km. Watapatia Isuzu a run for their money.
 
At only 5 million plus it only takes 4 hours to full charge, with a range of 250km. Watapatia Isuzu a run for their money.
Isuzu either wareduce price yao substantially au wataona moto. Na sio hizi tu, hata za BRT zitakuwa electric.
 
Hata mimi nawapa kongole kwa hizo arts ,ni matangazo mazuri ya utalii wa ndani na tamaduni..

Tanzania tuige hii ni nzuri badala ya kuweka upuuzi wa Yanga na Simba,maneno ya kejeli,Ccm na chadema na kuchora akina Neymar mara Putin and such nonsense.
Wewe atukushangai hata bendera yenu ya ushoga ina mirangirangi hii hapa
 
Keep quiet cause we control your economy.

View attachment 2198816
Acha masihara, Kwenye hio list kenya haina faida yoyote kwa uchumi wa Tanzania sana sana ni mnufaika wa uchumi wa Tanzania , tukiyumba kenya ameyumba.
Nionyeshe sekta gani ya Muhimu kenya amewekeza mpaka unasema “we control your economy “

Hio list imewekwa kuonyesha kenya ni miongoni Lakini sio muhimu.

Sekta muhimu za uchumi wa Tanzania
Utalii, Madini , gesi na mafuta , ujenzi , viwanda, kilimo , mawasiliano, huduma za mabenki na bima

Nitajie kampuni yoyote ya kenya iliyofanya uwekezaji mkubwa na kushika kwa asilimia kubwa sekta yoyote 👆🏿.

Sana sana kenya ni mnufaika wa uchumi wa Tanzania .
Wakipatikani wateja wa kitanzania wakawekeza ela zao Kwenye benki zenu munanufaika uongo kweli ??
Mukinunua mbogamboga na matunda kwa Bei Chee ya kutupa mukapeleka nai mukafunga Kwenye box na kuandika made in Kenya na kuchuma euro na dola munanufaika uongo kweli ??
Mtalii mutamuambia Njoo kenya uone Mlima kili munanufaika uongo kweli ??
Mukitorosha Tanzanite mukauza nai na kwingineko munanufaika uongo kweli ?
Kwahio Hakuna kiongozi wa kenya atapenda kuikorofisha Tanzania .
Tanzania ni Muhimu kistratejia Katika ukanda Huu.

Hio list kenya imewekwa kama jirani kudumisha ujirani lakini yote kwa yote tungeweza kupata mwekezaji yoyote wa kununua kiwanda cha mgololo au kulima chai .
Nikupe siri moja , zao lolote linalolimwa Tanzania iwe ni kahawa, chai , parachichi , kakao , mchele nk ladha yake ni ubora wa kipekee nayo ni faida kubwa Kwenye soko la dunia Bei inakuwa kubwa.
 
Kenya inazitegemea nchi zingine kwa sana kushinda hio nchi yenu mbovu. Ungeniuliza ningekueleza ni nchi gani hizi Kenya inazitegemea kistrategia na haiwezi kuzikosea. Lakini sio Tanzania. Nyie tumekorofishana hapa vibaya sana juzi wakati wa Magufuli au umesahau? Tulifungiana hata border. Unasahau haraka sana.
 
Back
Top Bottom