Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Mgao wa umeme uliotangazwa na Tanesco hivi majuzi umekwisha huko Tanzania au bado unaendelea?
Wakenya umeisha uko kwani
Mgao wa umeme uliotangazwa na Tanesco hivi majuzi umekwisha huko Tanzania au bado unaendelea?
Hapo ni saa nane ya usiku watu wengi wamo nyumbani. Wachawi, malaya, watchman na madereva wa lorry ndio wanatembea usiku. Lakini unaona jinsi taa imewaka mbele hadi mwisho utadhani ni Dubai?Parking lot hii mbona empty hv
Enjoy the Beauty of DARHizo barabara za vumbi kando ndio service lane.![]()
![]()
![]()
Kenya hakuna mgao wa umeme. Ila kwenu upo na ulitangazwa na Tanesco wazi wazi. By the way sisi tunaweza kuwauzia umeme kwa maana sisi tuna surplus. Tatizo ni kwamba ujenzi wa nyaya za umeme zinazounganisha KE na TZ bado haujakamilika.Wakenya umeisha uko kwani
Kama gani?
Siwezi shangaa taa hata dar zipo kibaoHapo ni saa nane ya usiku watu wengi wamo nyumbani. Wachawi, malaya, watchman na madereva wa lorry ndio wanatembea usiku. Lakini unaona jinsi taa imewaka mbele hadi mwisho utadhani ni Dubai?
Kuelimisha vilaza ni kazi ngumu mno, haswa mtanzania aliekata kauli kuamini fikra zake, itakua unapigia mbuzi guitar, can't dance to your 'tune' (fact) 😂 😂 😂 😂 ..,Hii sio Thika super highway. Neno super halitumiki kwenye hii barabara. Halafu upande mmoja wa barabara bado unajengwa sasa unataka markings zitoke wapi?

Hatari







No differenceThat's a viaduct AND NOT a bridge!
| Rank | Country | GDP (1970) | Share of Global GDP |
|---|---|---|---|
| #1 | $1.1T | 31.4 % | |
| #2 | ☭ USSR | $433B | 12.7 % |
| #3 | $216B | 6.3 % | |
| #4 | $213B | 6.2 % | |
| #5 | $148B | 4.3 % | |
| #6 | $131B | 3.8 % | |
| #7 | $113B | 3.3 % | |
| #8 | $93B | 2.7 % | |
| #9 | $89B | 2.6 % | |
| #10 | $62B | 1.8 % |
Mbona Tabora streets zao zina lami standard hata Nairobi haina na zote ni full lighting at night?Hapo ni saa nane ya usiku watu wengi wamo nyumbani. Wachawi, malaya, watchman na madereva wa lorry ndio wanatembea usiku. Lakini unaona jinsi taa imewaka mbele hadi mwisho utadhani ni Dubai?
| Rank | Country/Area | GDP (2020) | Share of Global GDP |
|---|---|---|---|
| #1 | $20.9T | 24.5 % | |
| #2 | $14.7T | 17.3 % | |
| #3 | $5.1T | 5.9 % | |
| #4 | $3.8T | 4.5 % | |
| #5 | $2.8T | 3.2 % | |
| #6 | $2.7T | 3.1 % | |
| #7 | $2.6T | 3.1 % | |
| #8 | $1.9T | 2.2 % | |
| #9 | $1.6T | 1.9 % | |
| #10 | $1.6T | 1.9 % |
GDP ya madeni kila siku na oil shortage 😁😁😁😁Comparison ya size ya Gdp ya nchi zote za dunia katika miaka mitatu ya 1970, 1995 na 2020
View attachment 2202367