Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Sasa anafanana zombie. Alikuwa mrembo.
Sasa anafanana zombie. Alikuwa mrembo.
Mungeanza kujielimisha Ili msiwe mnalia Lia kwa njaa kali..Kuelimisha vilaza ni kazi ngumu mno, haswa mtanzania aliekata kauli kuamini fikra zake, itakua unapigia mbuzi guitar, can't dance to your 'tune' (fact) 😂 😂 😂 😂 ..,
China n India r game changer!Comparison ya size ya Gdp ya nchi zote za dunia katika miaka mitatu ya 1970, 1995 na 2020
View attachment 2202367
kwani ni Tesla tu ndo wanatumia nickel? hebu shughulisha hizo funza kichwani!

Sawa basi. Hiyo ni Thika Highway. Are you happy now?Mambo mengi sana usijifanye hujui
Thika super highway with hawkers in the median section!
zen watanganyika wanadai eti kenya tunakufa njaa, zen on the other hand wanaiita kenya eti kunyaland.. nchi itakuaje kunia-land na hakuna cha kukula, kuna njaa..!?🤔 hivi asiyekula ata kunia aje
K3nyaland tuna chakula kingi tu.!👇🏽
Shillings depreciation.From $54B Yr 2017 to $48B Yr 2022...mnafilisika bro
zen watanganyika wanadai eti kenya tunakufa njaa, zen on the other hand wanaiita kenya eti kunyaland.. nchi itakuaje kunia-land na hakuna cha kukula, kuna njaa..!?🤔 hivi asiyekula ata kunia aje
K3nyaland tuna chakula kingi tu.!👇🏽
Manze hii picha ya kwanza imenishangaza. Kwani hii dongo kundu phase 1 ni 8 lane? Sikuwa najua Mombasa kuna barabara ya 8 lanes. Sasa sijui wajinga wagani wanalinganisha Mombasa na Mwanza.
zen watanganyika wanadai eti kenya tunakufa njaa, zen on the other hand wanaiita kenya eti kunyaland.. nchi itakuaje kunia-land na hakuna cha kukula, kuna njaa..!?🤔 hivi asiyekula ata kunia aje
K3nyaland tuna chakula kingi tu.!👇🏽
the widest road tanzania ever have, kimara-kibaha highway 6lanes.! only.!👇🏽
Hii ni kama vile vyoo vya hadhara vya warumi 10BC.We wa kuhara mtaroni, usingilie yasio kuhusu,sikukuliza wala kureply comment yako...pita mbaliView attachment 2200963