Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna ule wakati mama alikuja Kenya, huyu Rostam alikuwa kwenye msafara wa mama. Rostam alipopewa fursa ya kuongea, alilia sana kwa uchungu mwingi kwamba Kenya imemfungia nje na imekataa kumruhusu kujenga kiwanda cha gas Kenya. Nadhani tangu hio siku serikali ya Kenya ikaamua kumruhusu kuinvest Kenya. Hii yote ni matunda ya mama. Yule mzee roho mbaya kama bado angekuwa madarakani basi Kenya na Tanzania bado tungekuwa tunafungiana border na kuchomeana vifaranga.
Yuko kwenye msafara wa mama pia huko USA.

Screenshot_20220427-211834.png

Screenshot_20220427-211920.png
 
Kwaiyo ww unamletea utoto wako nani hapaa?ivi huo ujinga mtacha lini wa kunya unaenda kuscreen shot outlet ya flyover ndio uhesab lines alfu kama macho yako ni kipofu ntakutafutia spock ya moto nitoboe usione kabisa ...kwaiyo izo line mbili huoni kabisa apo centre?
footpath iliwekwa hapo, sabab barabara ilikua bana zaidi.. hivi wee unaona lanes ngapi zinatumika hapo kama sio zote 12twelve👇🏽

Screenshot_20220427-220335_Earth.jpg
 
Maana yake nini kwamba mna watu wawili ambao mmoja tayari ni dollar billionaire na mwingine amekaribia kuwa dollar billionaire ndani ya uchumi wa $71 billion ilhali Ivory coast ambayo ina uchumi almost sawia na yenu haina dollar billionaire. Ethiopia ambayo uchumi wake ni mkubwa kushinda wenu haina dollar billionaire. Kenya ambayo uchumi wake ni mkubwa kushinda wenu haina dollar billionaire. Iweje nyie na uchumi wenu mdogo muwe na dollar billionaire wawili? Hio inaonyesha wealth disparity kubwa ndani uchumi wenu. Mna uchumi mdogo lakini watu wawili tayari ni dollar billionaire hio ni ishara mbaya sana. Kwanza ukizingatia kwamba mna dollar millionaires wachache kushinda Kenya. Hao watu wawili ndio wanaomiliki property nyingi Tanzania. Halafu huwa mnasema Kenya inamilikiwa na watu wachache. Na nyie je mbona hamjiangalii?
Kwanza unatakiwa kufuta kenya kwa ubongo wako wakati unajadili Tz, unapaswa kujua ni Tz pekee mtu anaweza lala fukara akamka millionare, iyo GDP sijui 70s bado haina uhalisia kwa uchumi wa Tz, jiulize wakti mnataka kujenga esssigiiiaraa ( mtungi wa chang'a) iliwa lazim mkope na hata mkopo ulipo sitishwa rail ikaishianmachakani.
Unazungu mzia kenya yenye wafaa njaa against Tz nchi yenye inclusive economy kubwa ukanda huu...hata ikitoke tuchore hapa lorenz curve hapa kwenu ni aibuuu
 
Najua vizuri sana kwamba huyu Rostam kuna wakati forbes ilimtambua kama dollar billionaire ila sijui janga gani lilimkuta akafilisika sana na kurudi kuwa dollar centi-millionaire. Kwa sasa yeye sio dollar billionaire, usilazimishe.
Hebu kuwa fair to urself nitajie nani ana-invest $150 mln in gas terminal in another country, then ananunua stake in another mobile company at over $100 mln kabla ya ku-sign a $500 mln for sugar, soya and wheat production deal in a span of 2 months? Kama si a dollar billionaire? Usishau in December 2021 amenunua 31% of Williamson Diamonds Limited(WDL) !
 
Hebu kuwa fair to urself nitajie nani ana-invest $150 mln in gas terminal in another country, then ananunua stake in another mobile company at over $100 mln kabla ya ku-sign a $500 mln for soya and wheat production in a span of 2 months? Kama si a dollar billionaire?
Anaweza nunua na pesa ya mkopo, kama Elon Musk anakopa za kununua Twitter yeye ndio nani asikope.
 
Kuna ule wakati mama alikuja Kenya, huyu Rostam alikuwa kwenye msafara wa mama. Rostam alipopewa fursa ya kuongea, alilia sana kwa uchungu mwingi kwamba Kenya imemfungia nje na imekataa kumruhusu kujenga kiwanda cha gas Kenya. Nadhani tangu hio siku serikali ya Kenya ikaamua kumruhusu kuinvest Kenya. Hii yote ni matunda ya mama. Yule mzee roho mbaya kama bado angekuwa madarakani basi Kenya na Tanzania bado tungekuwa tunafungiana border na kuchomeana vifaranga.
Wanafki km nyie niwakuchomea hata nyumba, hamkuwai kuwa trust worth na hamtakaa muwe hiyo ndio nature yenu nyie creatures wa kikenya tokea miaka na miaka
 
Na isijulikane? FYI aliuza 35% of his shares in Vodacom Tanzania akapata over $400 mln! Huyu si tapeli Kirubi, Rostam is damn rich!
Yes sio lazima awajulishe, na pia kama husomi taarifa za biashara unaexpect kujua aje. Usiwe fala bana, hata investing or trading, brokers hupeana mkopo inaitwa trading or investing with margin. Hakuna watu wanajua kutumia mkopo kuliko hawa matajiri.
 
kwahiyo wewe ndo unifundishe mimi nyoko wewe? Madeni ya Kirubi yote yako online! Kwa hiyo Rostam akopeshwe around $500 mln isijulikane?

EAST AFRICA

Tanzanian billionaire Rostam Aziz lobbies AfDB to increase agriculture funding

The tycoon’s appeal was intended to assist the country in becoming a major food exporter.

MFB2-80x80.jpg

Published
9 hours ago
on
April 27, 2022
By
Mfonobong Nsehe
WhatsApp-Image-2022-04-27-at-5.07.17-PM.jpeg

Rostam Aziz.

Tanzanian billionaire Rostam Aziz has encouraged the African Development Bank (AfDB) to provide appropriate funding to help Tanzania’s $12.7 billion agriculture sector adapt, according to a report by The Citizen.

The tycoon’s appeal was intended to assist the country in becoming a major food exporter, as well as to help the globe meet its food needs.

While the transition of Tanzania’s agriculture industry from subsistence to commercial farming remains the country’s biggest issue, the Agriculture Ministry has announced intentions to invest up to Ksh1.2 trillion ($10.3 billion) yearly in irrigation farming.

Tanzania’s goal is to increase irrigated farming by more than 50 percebt in the next 10 years, as part of the country’s agricultural reform program, according to the government.

During their discussion in Washington, Aziz reminded AfDB President Akinwumi Adesina that Tanzania had significant potential for producing both food and cash crops for domestic consumption and export.

Aziz, who is part of Tanzanian President Samia Suluhu Hassan’s U.S. mission, stated that Tanzania’s agriculture needed major investment to improve crop output and rebuild the sector’s value chain.

“It is high time we stopped singing about Tanzania’s potential, and invest to transform the country’s agricultural value chain,” he said.

Agriculture Minister Hussein Bashe reacted to the news by saying he had a productive meeting with Adesina in Dar es Salaam last month.

“We discussed priority areas of cooperation such as extending credit facilities to farmers, strengthening irrigation, reducing post-harvest losses, and scaling up conservation of traditional seed crops,” he said.

Other high-priority areas include the government’s ambitious intention to invest Ksh1.5 trillion ($12.9 billion) in irrigation agriculture over the next ten years.

Despite the fact that the country has an average food surplus of 25 percent, Bashe claims that post-harvest losses are above 30 percent due to a lack of suitable crop preservation facilities.

“The government has reviewed its investment in storage facilities, and has shifted from investing in regional multibillion-shilling storage facilities to building rural storage facilities in order to bring the facilities closer to farmers,” said Bashe, who is also the Nzega Urban MP.

Traditional seed varieties may become extinct as a result of technical advancements, he said, adding that the government was working with the AfDB to increase the number of traditional seeds and ensure proper commercialization.

Aziz signed multiple investment agreements, including a $1-billion arrangement to manufacture wheat and soya between Taifa Group and Northern Feed & Company, an American investment firm.

ndo maana huwa nakwambia hakuna siku tz itashindana na kenya katika swala la miuondo misingi, hasa mambo na mabarabara na interchanges...
heb angilia hii google Street View nime screenshot. heb niambie unaona ni lane gani hapo iko dormant kama sio zote kukua very active.. infact sikua nimeona keenly, kumbe lanes zote ni 12.!, nazote ni very active..

see for yourself👇🏽👇🏽
Screenshot_20220427-220335_Earth.jpg
Screenshot_20220427-220307_Earth.jpg
 
ndo maana hjwa nakwambia hakuna siku tz itashindana na kenya kwa swala la miuondo misingi...
heb angilia hii google Street View nime screenshot. heb niambie unaona ni lane gani hapo iko dormant kama sio zote kukua very active.. infact sikua nimeona keenly, kumbe lanes zote ni 12.!, nazote ni very active..

see for yourself👇🏽👇🏽View attachment 2202845View attachment 2202846
Hapo hakuna six Lanes uache kulazimisha vitu we punguani
 
Kwa macho yako au ua kuazima?iyo nane umeionea wapi ww? Naona nne tu na mbili matoleo
hii snapshot ita arrest hilo hoja lako kabisa.. all the 12lanes are extra active.! nb: non is dormant.!

food for your eyes👇🏽
Screenshot_20220427-221605_Earth.jpg
 
kwahiyo wewe ndo unifundishe mimi nyoko wewe? Madeni ya Kirubi yote yako online! Kwa hiyo Rostam akopeshwe around $500 mln isijulikane?

EAST AFRICA

Tanzanian billionaire Rostam Aziz lobbies AfDB to increase agriculture funding

The tycoon’s appeal was intended to assist the country in becoming a major food exporter.

MFB2-80x80.jpg

Published
9 hours ago
on
April 27, 2022
By
Mfonobong Nsehe
WhatsApp-Image-2022-04-27-at-5.07.17-PM.jpeg

Rostam Aziz.

Tanzanian billionaire Rostam Aziz has encouraged the African Development Bank (AfDB) to provide appropriate funding to help Tanzania’s $12.7 billion agriculture sector adapt, according to a report by The Citizen.

The tycoon’s appeal was intended to assist the country in becoming a major food exporter, as well as to help the globe meet its food needs.

While the transition of Tanzania’s agriculture industry from subsistence to commercial farming remains the country’s biggest issue, the Agriculture Ministry has announced intentions to invest up to Ksh1.2 trillion ($10.3 billion) yearly in irrigation farming.

Tanzania’s goal is to increase irrigated farming by more than 50 percebt in the next 10 years, as part of the country’s agricultural reform program, according to the government.

During their discussion in Washington, Aziz reminded AfDB President Akinwumi Adesina that Tanzania had significant potential for producing both food and cash crops for domestic consumption and export.

Aziz, who is part of Tanzanian President Samia Suluhu Hassan’s U.S. mission, stated that Tanzania’s agriculture needed major investment to improve crop output and rebuild the sector’s value chain.

“It is high time we stopped singing about Tanzania’s potential, and invest to transform the country’s agricultural value chain,” he said.

Agriculture Minister Hussein Bashe reacted to the news by saying he had a productive meeting with Adesina in Dar es Salaam last month.

“We discussed priority areas of cooperation such as extending credit facilities to farmers, strengthening irrigation, reducing post-harvest losses, and scaling up conservation of traditional seed crops,” he said.

Other high-priority areas include the government’s ambitious intention to invest Ksh1.5 trillion ($12.9 billion) in irrigation agriculture over the next ten years.

Despite the fact that the country has an average food surplus of 25 percent, Bashe claims that post-harvest losses are above 30 percent due to a lack of suitable crop preservation facilities.

“The government has reviewed its investment in storage facilities, and has shifted from investing in regional multibillion-shilling storage facilities to building rural storage facilities in order to bring the facilities closer to farmers,” said Bashe, who is also the Nzega Urban MP.

Traditional seed varieties may become extinct as a result of technical advancements, he said, adding that the government was working with the AfDB to increase the number of traditional seeds and ensure proper commercialization.

Aziz signed multiple investment agreements, including a $1-billion arrangement to manufacture wheat and soya between Taifa Group and Northern Feed & Company, an American investment firm.

You are too dumb to learn.
 
Back
Top Bottom