Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daily dose of expressway.

1650906658412-png.3112097
 
Hawa watu hatujawahi kua nao sawa bro usijidanganye 500 years ago kuna kitu walijenga kinaitwa Great Wall of china. That means walishaga endelea kwenye masuala ya technology zamani mno, wanachokifanya nowdays ni kama kurudisha tu heshima yao baada ya kuperwa na westerners pamoja na Japan
Nacho sema tulikuw na matatizo yanayo fanana kwa kiasi kikubwa, pia nikweli walitutangulia lkn sio kwa pace hiii....hata ile 1970s walivyo kuja kujenga ile railway uku iliprove kuwa wamesogea zaidi yetu ...lakini sio kwa pace hiii
 
Hawa watu hatujawahi kua nao sawa bro usijidanganye 500 years ago kuna kitu walijenga kinaitwa Great Wall of china. That means walishaga endelea kwenye masuala ya technology zamani mno, wanachokifanya nowdays ni kama kurudisha tu heshima yao baada ya kuperwa na westerners pamoja na Japan
Fikiria somo la mathematic historically ilianzia Afrika, vitu km kalenda vilianzia huku sasa mbona tumekwama kinzi sanaaa
 
Au basi
Nimesahau kumbe lamu ni ile miji ya wakaldayo 😀

View attachment 2201668
Tofautisha kati ya Lamu Island na Mainland.
Lamu island hakuna magari kwa sababu yamepigwa marufuku kutokana na Status yake ya UNESCO World Heritage Site..
Na ndio maana Inatambulika kama best preserved Swahili state.
Sasa utajitetea vipi kuhusu canter za mbao Zanzibar
 
Usichokeshe vidole tena ukitype ufala, soma hii hapa kutoka kwa mtanzania ambaye anaelewa.

Wewe punguza ujinga wako, juzi hapa mlishabikia Gwajima kule bungeni akisema Tanzania haina "long term vision', kila rais anafanya mipango yake. Wakenya Kama kawaida yenu kutokana na upumbavu wenu mkashabikia upuuzi wa Gwajima, tuliwaonyesha "long term vision ya Tanzania mkainamisha vichwa chini.

Huyo aliyeandika hiyo tweet ni watu Kama Gwajima, Hana lolote analojua, hupaswi kusikiliza watu Kama hao, unapaswa kutafuta mwenye taarifa kujua kwanini, devolution ilishindikana Tanzania, punguza uvivu wa kujisomea, hizo tweets haziwezi kupanua ufahamu wako, ni maoni ya watu, wengi ni wajinga kukushinda wewe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mzee local government sio majina ya viongozi, ni muundo kamili wa serikali kuanzia utawala, uratibu, mipango, mapato na umiliki wa mipaka (administrative boundaries)

Local government ya Tanzania ina budget yake tofauti, construction projects zake kama barabara (hizo kwenye video) schools, hospitals, bus terminals, public markets, public parks, public transportation, social economic investments na mambo mengine mengi ambayo hayahusiani na central government.
Local goverment zenu Zina Bunge?
 
hebu imagine muko huku ??🤣🤣🤣

Najua wewe ni mjinga saaaaana lakini fanya hesabu za haraka. 40% of 50 million people is 20 million. Sasa kati ya 20 million Kenyans na 28 million Tanganyikans ni wapi umaskini imekithiri?
 
Back
Top Bottom