ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kibaki ni kiongozi bora kenya aliinua sana kenya namfahamu vzr sana siwezi kumuongelea tofaut mwai kibaki ni kiongozi mzuri sana kwa africa hii🙏🙏🙏🙏Asante mzee. Kumbe wakati mwingine wewe huwa muungwana na unaweka mchezo kando. Asante. Huyo mzee kweli aliitoa Kenya kwenye shimo kabisa.