Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana basi umaskini ni mkubwa sana kunyaland kumbe KRA inakusanya mpaka car parking fees, billboards fees, markets fees, local business fees, real estate fees, building permits fees, local hospitals revenues hata ushuru wa mazao? Sasa hiyo devolution kazi yake nini? 🤣🤣🤣🤣
ndio maana makusanyo ya KRA makubwa , wamekusanya hadi huko chini?
 
Mnakusanya kiasi gani wakati mmesema kila kitu mnasubiri pesa kutoka juu? Tanzania LG inategemea sana CG kwenye mishahara ya wafanyakazi wake sana lakini kwa miradi ya chini ya LG inajitegemea kutoka kwenye local sources na vyanzo vikubwa ni kuuza ardhi

View attachment 2201510

View attachment 2201512
Sorry to say this but you must have been a dunderhead in school. Uwezo wako wa kuelewa ipo chini sana. Ushuru ambayo serikali inakusanya Kwani inatoka wapi? If the government collects this money then distributes it to different county governments kutekeleza miradi za maendeleo kuna ubaya gani? Ama kwa akili yako unadhani KRA inatoa pesa wapi?
 
ndio maana makusanyo ya KRA makubwa , wamekusanya hadi huko chini?
Hahaha mfumo wao upo hovyo sana, na ndio maana kodi Kenya ni kubwa mno na si rahisi watu wa hali ya chini kutoka, rates za taxes zao zipo parallel from all classes of economy, Tanzania tozo za halmashauri kidogo zina unafuu sana,

Mfano ukitaka leseni ya uvuvi Victoria ni 20k tu per annum then ziwa ni lako lote uvue unachotaka hakuna wa kukuzuia wala kukudai chochote no matter how many tons you fish per hour alimradi tu usitoe nje ya mipaka ya nchi, kunyaland hawawezi kukuachia huu uhuru kama KRA ndio tax regulator wa kila sehemu.
 
Ndio maana basi umaskini ni mkubwa sana kunyaland kumbe KRA inakusanya mpaka car parking fees, billboards fees, markets fees, local business fees, real estate fees, building permits fees, local hospitals revenues hata ushuru wa mazao? Sasa hiyo devolution kazi yake nini? 🤣🤣🤣🤣
Shifting goal posts as always. Parking fees, for example in Nairobi ninapoishi inafanywa na county government. Same with tozo za billboards, market fees, local business fees and many other things. When I said KRA inakusanywa ushuru hadi vijijini, think about a person in the village who is required by the law to file tax returns. Think about that person in the village who is supposed to pay withholding tax. Think about that village person who is required by the law to pay domestic tax. What about that villagers who's required to pay income tax? But because you are a bongolala, you won't understand any of these
 
Sorry to say this but you must have been a dunderhead in school. Uwezo wako wa kuelewa ipo chini sana. Ushuru ambayo serikali inakusanya Kwani inatoka wapi? If the government collects this money then distributes it to different county governments kutekeleza miradi za maendeleo kuna ubaya gani? Ama kwa akili yako unadhani KRA inatoa pesa wapi?
Wewe ni kilaza wote na mwenzio akili yoyo
 
Ndio maana basi umaskini ni mkubwa sana kunyaland kumbe KRA inakusanya mpaka car parking fees, billboards fees, markets fees, local business fees, real estate fees, building permits fees, local hospitals revenues hata ushuru wa mazao? Sasa hiyo devolution kazi yake nini? 🤣🤣🤣🤣
Huenda sisi ni masikini lakini we haven't reached this level of poverty

Almost half of extremely poor people in Sub-Saharan Africa live in just five economies:
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)

https://t.co/62qUZvhgYG https://t.co/ENwgy2Jq50
 
Shifting goal posts as always. Parking fees, for example in Nairobi ninapoishi inafanywa na county government. Same with tozo za billboards, market fees, local business fees and many other things. When I said KRA inakusanywa ushuru hadi vijijini, think about a person in the village who is required by the law to file tax returns. Think about that person in the village who is supposed to pay withholding tax. Think about that village person who is required by the law to pay domestic tax. What about that villagers who's required to pay income tax? But because you are a bongolala, you won't understand any of these
Anaelipa withholding tax ni 'villager'?
 
Huenda sisi ni masikini lakini we haven't reached this level of poverty

Almost half of extremely poor people in Sub-Saharan Africa live in just five economies:
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)

https://t.co/62qUZvhgYG https://t.co/ENwgy2Jq50

IMG_1084.jpg
 
Mkona Governor na mawaziri kwa hizo local government? Show us the executive tuone.
Kuna wizara inaitwa TAMISEMI ndio inadeal na hizo local government na inalikink na parliament . Just Google TAMISEMI utaelewa . Lakini local government zipo independent na wanamiradi yao wanasimamia . Kwa mfano halmashauri ya wilaya ya kinondoni wana team yao na miradi mingi mpaka wanajenga uwanja wao
 
Tunaongelea wizara kwa lower level of government.
 
Back
Top Bottom