Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaongelea wizara kwa lower level of government.
Lower level kwa Tanzania ni serikali za mitaa au vijiji ndio kazi ya TAMISEMI (tawala ya mikoa na serikali ya mitaa) kwa mfano TANROAD wanadeal na central government kwenye miundombinu ya barabara lakini TAMISEMI wapo na TARURA kuangalia miundombinu mbinu ya barabara kwenye serikali za mitaa/vijiji . Yaani kuna taasisi kama hizo kwa level ya local government pia na kuna za kitaifa zote zipo independent
 
Calling ticket issuing machine at Mbagathi County Hospital.

Image
 
Kuna data nyingine zinafanya hata muhoji apa duniani tunafany nini kama wafrika?hawa jamaa walikuw almost equal na sisi miaka ya 60s, angalia walipo leo
😂😂😂 Hawa watu hatujawahi kua nao sawa bro usijidanganye 500 years ago kuna kitu walijenga kinaitwa Great Wall of china. That means walishaga endelea kwenye masuala ya technology zamani mno, wanachokifanya nowdays ni kama kurudisha tu heshima yao baada ya kuperwa na westerners pamoja na Japan
 
Lower level kwa Tanzania ni serikali za mitaa au vijiji ndio kazi ya TAMISEMI (tawala ya mikoa na serikali ya mitaa) kwa mfano TANROAD wanadeal na central government kwenye miundombinu ya barabara lakini TAMISEMI wapo na TARURA kuangalia miundombinu mbinu ya barabara kwenye serikali za mitaa/vijiji . Yaani kuna taasisi kama hizo kwa level ya local government pia na kuna za kitaifa zote zipo independent
Wanalipwa mshahara na nani?
 
Hawa watu hatujawahi kua nao sawa bro usijidanganye 500 years ago kuna kitu walijenga kinaitwa Great Wall of china. That means walishaga endelea kwenye masuala ya technology zamani mno, wanachokifanya nowdays ni kama kurudisha tu heshima yao baada ya kuperwa na westerners pamoja na Japan

Exactly, hata ukienda kwenye zile Ancient town zao ambazo zipo hadi sasa hivi kama tourist sites, Hilo pavement waliloweka litakufanya uulize maswali mengi sana.
 
Devolution kwa Kiswahili ni Ugatuzi. Transfer of power to lower levels of government. Bongo rais ndio kunyamba nyinyi ni kunusa.
Huku tulitumia neno "Madaraka mikoani", hatukutumia hiyo "terminology ya "Ugatuzi, Kama ukitumia "google" unaweza kuona huo mfumo wa "Devolution" kwa Tanzania ulitumika lini na kwanini ulishindikana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ebu tingisha kichwa uconfirm kama Kuna kitu ndani. Wewe the only thing you know is making noise. The last time I had a debate with you was about albinism which you embarrassed yourself like no one's business.
Wewe ni chini ya wanafunzi wangu niliwafundisha, hujui lolote kuhusu medical science zaidi ya kukusanya specimen za kinyesi cha binadamu ili kuchungulia kwenye darubini

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huenda sisi ni masikini lakini we haven't reached this level of poverty

Almost half of extremely poor people in Sub-Saharan Africa live in just five economies:
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)

https://t.co/62qUZvhgYG https://t.co/ENwgy2Jq50
hebu imagine muko huku ??🤣🤣🤣
 
Devolution has already worked and that's why you can see Kenya is far much ahead of Tanzania in every matrix.
Devolution has already proved failure in Kenya, corruption has increased twice, Government employees have increased frequencies of strikes due to delayed salaries, Government expenditure have increased exponentially(Punda amechoka kubeba mzigo), Tribalism has increased

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huku tulitumia neno "Madaraka mikoani", hatukutumia hiyo "terminology ya "Ugatuzi, Kama ukitumia "google" unaweza kuona huo mfumo wa "Devolution" kwa Tanzania ulitumika lini na kwanini ulishindikana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Usichokeshe vidole tena ukitype ufala, soma hii hapa kutoka kwa mtanzania ambaye anaelewa.

Back
Top Bottom